Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Bashite anatakiwa kufahamu ni wapi awe anasimama lakini sio kujichomeka popote pale! Yaani unajipachika walipo majaji, majaji wastaafu, spika, maofisa wa jeshi, halafu unatarajia upewe mkono? Very stupid... JPM did the right thing kumruka!
 
Nimeona video kapost Masanja, Makonda alimfata Magu hadi nje alipokuwa anataka ondoa akakimbilia akampa mkono ila hawakuongea kitu
 
Hili tukio ni la kupangwa kabisa, maana hata Makonda mwenyewe anaonekana wazi kuwa alijiandaa kwa hilo maana hata yeye hakuuinua mkono wakati rais akielekea uelekeo wake.
Kwa jinsi picha likivyo basi hata kama rais angeinua mkono basi Makonda asingeuinua. Hilo picha limetengenezwa kabisa
Kweli hujui lugha ya mwili ,makonda alijiandaa kutoa na kupokea mkono,mzee baba akapotezea
 
Nimeona video kapost Masanja, Makonda alimfata Magu hadi nje alipokuwa anataka ondoa akakimbilia akampa mkono ila hawakuongea kitu
Mkuu, unaweza kuweka link ya hiyo video au masanja?
 
Iyo mbona kawaida sana ila dizaini nimeona kama makonda kajisikia vibaya hivi. Ila ni hali ya kawaida kuna ma senior wengi pale rais alikua na shauku ya kusalimiana nao akaona huyu makonda bwana mdogo alafu nimeongea nae kwenye simu asubui hapa tena nimsalimie ya kazi gani just like that sio kwa nia mbaya
Inawezekana pia walionana kabla.
 
Huyu anasalimia kisumusumu tu.

uchaguzi si mwaka kesho tu, hapo jirani? watamvurugia Rais asishinde
Jiwe ajifunze kuwa mpole tu, hasa kipindi hiki, hata ofisi ya kusikiliza kina Mama/Wadada wanaopigwa na Kupuuzwa na waume zao pale Lumumba. huu mpango umefia wapi? na hawa ndo wapiga kura namabari one nchi nzima!
 
makonda kanesa aseee

unajua ile kuneseshwa,unaitwa unaskia jina lako kabisa

ile unaamka Teacher anasema "sio wewe" huwa inaboa

kama ulikua unajua sio mimi si ungemalizia jina lote shenziiiiiii

huyu nae anajua nipo safu ya mbele kabiisa halafu anapitisha mkono wake mbele yangu

kaninesesha mimi kumbe hana time na mimi,Fuleshi lakini ipo day.
 
Ngonjera za kipumbavu hizi hazina maana!ccm wanatuchezea kamchezo!!!Kama ni kweli basi itakuwa ni yule mganga aliemwaminisha kuwa jiwe hatopata shida baada ya lile zindiko!!!jiwe akashangaa upepo wa kisulisuli ukamchukua!sasa anaona bashite alizingua tu!!!
 
Dra
Heshima wakuu,

Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.

Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?

Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?

Je, Makonda amedanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?

Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?

Je, Wakazi wa Dar kutojiandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?

Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapato?

Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kashindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?

Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.

Zaidi, soma;


View attachment 1261346
Drama or you want to flash out coachroaches
 
Back
Top Bottom