pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 878
Heshima wakuu,
Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.
Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?
Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?
Je, Makonda amedanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?
Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?
Je, Wakazi wa Dar kutojiandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?
Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapato?
Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kashindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?
Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.
Zaidi, soma;

Seif Shariff Hamadi agoma kumpa mkono wa salamu Rais Dkt. Shein!
Katika kipindi cha magazetini Leo, imeripotiwa kuwa Maalimu Seif alikwepa kusalimiana Dkt Shein walipokutana kwenye maziko ya Aboud Jumbe. Hii inapeleka ujumbe gani kwa wana-Zanzibar?! ============= Maalim Seif Kukataa Mkono wa Dr.Shein kwenye Mazishi ya Al-Hajj Aboud Jumbe Mwinyi. Ujumbe...
www.jamiiforums.com