Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

kifinga, Bila shaka tatizo lipo. Ingekuwa kawaida jamaa asingekimbilia Insta na kuanza kupost mafumbo hivi.
 
Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
Hakumruka Maalim Seif labda hiyo ulioona ni ile ya kutengenezwa ili kuficha ukweli; ila ni kweli alimruka RC Makonda, lakini sidhani kama ni kwa kukusudia. Nadhani ni bahati mbaya tu.Kitendo hicho sasa kisiwe chanzo cha umbea humu JF tena.
 
Kwa video iliyotumwa huko ipo hivyo labda hawakuonyesha kipande hicho.
Ndiyo alimsalimia Maalim Seif na kusogoa naye kidogo; binafsi nimefuatilia tukio lote. Hakumruka Maalim Seif, kamruka RC Makonda, na ukiiangalia hiyo video kwa makini, nadhani Rais leo hakutaka tu kumsalimia kwa mkono. Kwa nini, SIJUI!
 
Lakini kwenye salamu zake alitambua uweppo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam - niliona kampita lakini sidhani ni issue kubwa, baba na mwana ni lini wakaenda tofauti.
 
Iyo mbona kawaida sana ila dizaini nimeona kama makonda kajisikia vibaya hivi. Ila ni hali ya kawaida kuna ma senior wengi pale rais alikua na shauku ya kusalimiana nao akaona huyu makonda bwana mdogo alafu nimeongea nae kwenye simu asubui hapa tena nimsalimie ya kazi gani just like that sio kwa nia mbaya
Inaweza kuwa uko sahihi kwa % zote
 
Back
Top Bottom