Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Iyo mbona kawaida sana ila dizaini nimeona kama makonda kajisikia vibaya hivi. Ila ni hali ya kawaida kuna ma senior wengi pale rais alikua na shauku ya kusalimiana nao akaona huyu makonda bwana mdogo alafu nimeongea nae kwenye simu asubui hapa tena nimsalimie ya kazi gani just like that sio kwa nia mbaya
 
Sefu hajarukwa tena wamepiga na stori kama sekunde tatu hivi.!
Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
 
Iyo mbona kawaida sana ila dizaini nimeona kama makonda kajisikia vibaya hivi. Ila ni hali ya kawaida kuna ma senior wengi pale rais alikua na shauku ya kusalimiana nao akaona huyu makonda bwana mdogo alafu nimeongea nae kwenye simu asubui hapa tena nimsalimie ya kazi gani just like that sio kwa nia mbaya
Sahihi,ukute muda wote walikuwa pamoja,
Na ukute Makonda ameamkia asubuhi pale Magogoni..
 
Back
Top Bottom