Mshikemshike Dar, Mbowe na Dr. Slaa walikamata Jiji

CHADEMA si kila siku mnawatukana watu wa Dar kuwa wanakula miguu na utumbo wa kuku?

ni kweli dar wamezidiwa hata na kasulu....
hata wewe laki si pesa ni hao hao wala miguu ya kuku ushaona wapi kijana kama wewe unashabikia ccm??
 
Last edited by a moderator:
Huna haki ya kuniuliza chochote.

Uko kwenye Ignore list yangu siku nyingi wewe mpigapicha wa Nape
Vijana wa BAVICHA mnafurahisha sana!.

Unadai niko kwenye ignore list yako halafu unaweza kusoma comment yangu na kuijibu!.

You must walk the walk after talking the talk!

Nadhani hufahamu hata maana ya neno ignore!

Ignore

verb: ignore; 3rd person present: ignores; past tense: ignored; past participle: ignored; gerund or present participle: ignoring.

refuse to take notice of or acknowledge; disregard intentionally.

synonyms: disregard, take no notice of, pay no attention to, pay no heed to, pass over, shut one's eyes to, be oblivious to, turn a blind eye to, turn a deaf ear to, brush aside, shrug off, push aside, never mind; More

antonyms: pay attention to, acknowledge, obey
 
Mpigapicha wa Nape huwa unalipwa shilingi ngapi kupiga picha..?

Kazi nyingine jamani ni bora ukalima.Ni kujidhalilisha tu..
 
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara

Nadhani ni sawa tu wakifanya hivyo, KINANA na NAPE nao huzunguka vijijini na mitaani wakifanya hivyo!
 
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara

Ina maana Kinana anaponda Mtwara, Tanga, Mbeya na Iringa anakuwa hawaamini viongozi wa chama walioko huko.
 
Hii operation ilitakiwa kufanyika wakati wa kujiandikisha, nusu ya wa kazi wa Dar hawajajiandikisha, na dalili zinaonyesha 80% ya ambao hawajajiandikisha siyo CCM. Safari bado ni ndefu labda kama tunaongelea kujaza watu kwenye mikutano

Upo sahihi kwa asilimia kubwa mie mwenyewe nimelishuhudia hili ccm wamefanya lobbying kubwa sana kuhakikisha wanawatu wao wanajiandisha kwenye chaguzi hizi za serikali ya mitaa. mie walinifata na kuniuliza kama mie ni mwanaccm nikawakubalia ndio wakaniambia kuna swala la kujiandikisha kwenye ofisi ya serikali ya mtaa kwa ajiri ya upigaji kura na wakanionesha picha ya mgombea wao wa ccm ni kunisihi sana nisiache kwenda kujiandikisha.

Wakati sikuona mtu yeyeto wa chadema wala ukawa wakifanya haya wakati wa kujiandikisha. ccm wanajua wananchi wa dar wako busy wanatufata na picha za mgombea wao kutuhamasisha kwenda kujiandikisha sie tumetulia tunasubiri tu wananchi waende kujiandisha wenyewe kwa utashi wao. Itakula kwetu tutarajie aibu kubwa kwenye matokeo ya kura hizi. ccm watashinda kwa kishindo japo hawapendwi mitaani ila hao wacheche wanaowapenda ndio waliojiandisha na ndio watakaopiga kura wakati sie wengi na wasomi wa taifa hili tukiwa busy na jamiiforum na kusahau kujiandikisha ama kupuuzia na tunategemea miujiza ya ushindi
 
10676218_10152859998097412_8968171845708527008_n.jpg
 
molemo ...pamoja na operation hiyo tupeni majibu ya kilichotokea same tumaini makene amekuja na jibu rahisi sana ....mimi sitegemei kwa mikoa ya arusha na kilimanjaro kama maccm yangepita bila kupingwa au form kukosewa kisa muhuri kwa chama makini kama chadema

Huwezi kuchukua nchi kwa kuendesha chama kisanii kwa mtindo wa operations zisizofanyiwa tathmini. CHADEMA hawajengi uwezo wa chama kujiendesha ngazi za chini ili watu wa makao makuu wawe wanagawana posho kwa kisingizio cha kujenga Chama. Wananchi tuko tayari kuondoa CCM, chama hakijajipanga, katibu mkuu Dr Slaa hajui hata mihuri waliyonayo makatibu wa wilaya kwa kuwa hawatoi semina elekezi kwa viongozi ngazi za chini
 
Mpigapicha wa Nape huwa unalipwa shilingi ngapi kupiga picha..?

Kazi nyingine jamani ni bora ukalima.Ni kujidhalilisha tu..
Ndiyo maana nikasema vijana wa BAVICHA mnafurahisha kama siyo kusikitisha kwa sababu hamjitambui achilia mbali kuelewa mantiki ya kile unachokiandika.

Comment yako ya kwanza umesema niko kwenye ignore list yako lakini cha kushangaza umeanza kuniuliza maswali ukitaka nikupe majibu.

You are good-for-nothing with hallucination and kerfuffle!

Nimekupa ushauri. You must walk the walk after talking the talk.
 
Ina maana Kinana anaponda Mtwara, Tanga, Mbeya na Iringa anakuwa hawaamini viongozi wa chama walioko huko.

CCM inao makatibu wa wilaya inaowalipa mshahara kila mwezi, kuna gamba moja nalifahamu Ni katibu wa wilaya kila siku linaenda kuomba mafuta kwa DED. Hao makatibu wasipotimiza wajibu wanafukuzwa hivyo hawawezi kufanya makosa ya kitoto kama kutumia muhuli feki. CHADEMA imeshauriwa mara 300 kuweka structure imara ngazi ya wilaya kwa mtendaji wa mshahara hawakubali
 
Acha porojo ndugu..Kwa hiyo waliojiandikisha ni CCM tu?

Mimi kwenye mtaa wangu robo tatu ya waliojiandikisha ni Ukawa

Malemo, nitakutafuta tena baada ya uchaguzi maana kila kitu siyo ushabiki wakati mwingine tumia akili na masaburi acha nyumbani
 
Pambananeni Makamanda...........pengine hatutakuwapo eneo la tukio ila sala zetu zi pamoja nanyi.
 
CHADEMA si kila siku mnawatukana watu wa Dar kuwa wanakula miguu na utumbo wa kuku?

Hawatukanwi Ndiyo ukweli wenyewe! na ukiingia vingunguti bom bom unakuta wanakaanga mafuta ya ng'ombe Yale makapi yanayobaki, yanauzwa bakuli shs 100,watu wanaenda kula ugali na family! Sasa CHADEMA Wanataka kuwatoa huko na kuwapeleka Tanganyika kweli, Siyo hii ya majambazi Ccm!
 
Haya sasa kumekucha wakazi wa Dar es salaam - ukombozi umewafuata hadi majumbani kwenu, jitokezeni semeni yatosha kwa Kina ESCROW a.k.a CCM.

Ngoja niwahi vijibweni nikamsikilize mwenyekiti wangu!!
 
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara

Tatizolenu Ccm mlishazoea siasa za Zamani zilizopitwa nawakati,ebu mambo ya Cdm tauchie wenyewe shughulikia kundi lenu la wezi
 
Back
Top Bottom