- Thread starter
- #61
TUNAWAOMBA VIONGOZI WA KITAIFA wasitusahau NA SISI HUKU TANDIKA MWEMBEYANGA .
Usijali Ratiba niliyonayo inaonyesha kote huko watapita.
TUNAWAOMBA VIONGOZI WA KITAIFA wasitusahau NA SISI HUKU TANDIKA MWEMBEYANGA .
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara
Haya mambo ya vyama munayashabikia kama watu wa kijiweni kabisaaa!! Hivi kweli kwa umoja wenu hamfahamu kwa nini Msomali wa CCM, Kinana na Nape hawatulii nyumbani? M/kiti wa CCM anaeleweka hana lolote la kuwaambia wananchi. Mimi ningefurahi sana kama CCM ingekuwa na M/kiti mwenye uwezo wa kusema na kushiriki mijadala ya maana.
Siasa za nchi lazima ziwe live siyo kutafuta sifa za ving'ora bila hata la maana linalokumbukwa. Lazima wana CCM wote tukubali kwamba huyu tulikula hasara. Miaka 10 inapita bila hata hotuba ya kukumbukwa.
kauli yako inazidi kuthibitisha kuwa CCM si chama cha wanyonge tena. kwamba mwenyekiti wao JK akienda mitaani kuonana na wananchi eti ni kujidhalilisha.
sad.
Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanaendelea na operesheni maalum ya kuimarisha chama jijini DSM
Akithibitisha habari hizi Msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene amesema Operesheni Mshikemshike Mzizima leo itaendelea kama ifuatavyo;
Mwenyekiti atakuwa Kigamboni-Vijibweni. Kuanzia saa 8 mchana atakuwa na kikao cha briefing ofisi ya kata, atatembelea matawi na kuzindua ofisi kadhaa za misingi na matawi kisha atakwenda Kwenye mkutano wa had hara Mtaa wa Upendo.
Katibu Mkuu; kuanzia saa 8 atakuwa njia panda ya Mabibo Manzese ambapo atapiga mtaa kwa mtaa kufungua matawi kisha ataelekea eneo la mkutano, Mnazi Mmoja- Tip Top Manzese.
Hii ni operesheni maalum kwa Dar es Salaam iliyozinduliwa jana na Mkiti wa Taifa mitaa ya Kijitonyama. Itafanyika Kwa miezi 4. Itakuwa mtaa Kwa mtaa, kijiwe Kwa kijiwe na nyumba Kwa nyumba maeneo ya 'uswahilini'.
Hata huku mwanza,shy na mara hatutumii hayo makanyagio na utumbo!
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara
Usijali Ratiba niliyonayo inaonyesha kote huko watapita.
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara
Kuna umuhimu sana wa kuikomboa Dar kwanza , inaturudisha nyuma sana kwenye harakati za ukombozi na ni strategic area to successful.Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara
tulia apo sindano iingieKazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara
Acha porojo ndugu..Kwa hiyo waliojiandikisha ni CCM tu?
Mimi kwenye mtaa wangu robo tatu ya waliojiandikisha ni Ukawa
Kwa hiyo mpaka mwezi wa tatu 2015, viongozi wakuu wa CHADEMA watakuwa bado wanafukuzana na mitaa ya Jiji la Dar katika taifa lenye mikoa 30!
Ingekuwa vizuri zaidi ukawafikishia ujumbe na kuwaambia viongozi wakuu wa CHADEMA wakapitia kwenye hii thread,
By the way, Ni maeneo yapi hayo ambayo viongozi wa CHADEMA wanadhani siyo ya ''uswahilini''?