Mshikemshike Dar, Mbowe na Dr. Slaa walikamata Jiji

Nimeona msafara wa CDM umepita hapa sinza palestina unaelekea kijiweni ambapo Slaa atahutubia.
 
CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE , HATUHANGAIKI NA MAJUNGU .
ama kweli hiyo siasa. pamoja na kuwaona watu wa ajabu lakini mbele ya kura mnaona bora muende hata kama mtakayokuwa mnawaeleza hao waswahili ni unafiki na mnajua fika kuwa ni unafiki. da!
 
Chadema tukiwaona huku uswahilini tutawapopoa na mawe. Wanatukana sana watu wa uswahilini
halafu bila hata aibu wanataka tena kuja kwa waswahili ambao kila siku wako bize kuwatukana. huu ni ukweli usio na shaka kuwa kila watakachokuwa wanawaeleza ni unafiki tu ili wapate kura. hawana dhamira ya dhati toka moyoni hao.
 
hao waliokataa kuwawajibisha akina Warema, Tibaijuka, Muhongo na wenzao ndio wana dhamira ya dhati ya kumkomboa mtanzania wa hali ya chini aka uswazi kutoka mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom