Mbowe na Dkt. Slaa ni balaa watatoana damu

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
IMG_8366.jpg
 
View attachment 2771259
magazeti ya kufungia maandazi hayo, wapi Mbowe na Slaa wamejibizana? Rubbish!
 
Yumkini umeandika machache yaliyo ya kweli lakini ukajaza mengi ya uwongo. Sijui ni kwa sababu ya hulka ya unafiki au akili kidogo!
 
Propagander
 
Bora niwe chawa wa CCM na si chawa wa Mbowe....

CCM ina mapungufu yake..ila Mbowe ana mapungufu makubwa zaidi.....

Ni Mbowe aliyesaliti UKAWA kwa sababu ya fedha....alilambishwa na akalamba pakubwa.......

Ni Dr.Slaa ambaye haeleweki na haaminiki......

Nikiwa na akili timamu na masters degree naamini kabisa si vyengine ila ni CCM pekee inayosimamia maslahi jumuishi ya watanzania.....

Bora ya zimwi likujualo.....

#Karibuni Komoni Hapa Majohe Rada

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Erythrocyte anajua mbona....

Ya kwamba BOSS wake komredi Mbowe alilambishwa zaidi ya bilioni 100.....kipindi kileee cha kujiwa na mshenga*....

Mdude akaona ujinga....kwanini aumie yeye tu ilihali akina Rodney wanazitumbua "shekeli" kule bondeni

Bora ya CCM na si udalali wa Mbowe na Dr.Slaa.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dkt Slaa amejibu mapigo kwa kuclaim kwamba Mbowe na washirika wake lazima wawe ombaomba akinukuliwa wakati wa maandalizi ya kongamano la Mwanza Dkt Slaa amesema kuwa atahakikisha anaziba mirija ya Mbowe na kufichua janja janja zake alizozificha nyuma ya kivuli cha harakati nataka kufanya their political careers difficult alisikika Dkt. Slaa. (Huku akiuma midomo yake).

Mwamba alikipigania sana Chama ila Dkt. Slaa inaonekana amemzidi nguvu amekipasua chama katikati Diaspora hawaelewi kitu hela za mkutano wa Temeke zilipigwa safari hii wanataka Mwamba atoke ampishe Lissu (Dishi limeyumba) au waende Sauti ya Watanzania. Kikubwa maandalizi ya uchaguzi wa ndani wameshika nafasi zote nyeti.

Upande wa pili wa Mbowe yametoka maelekezo hakuna mfuasi wa mbowe kushiriki space za Maria na kongamano la katiba litakalofanyika Mwanza sababu Maria anatajwa kuwa ni fisi mwenye kueneza chuki na mshirika wa Lissu (Dishi kuyumba)..!

Zipo taarifa kwa upande wetu sisi tunaona za hovyo na roho mbaya tu wamemtaka Mdude nyagali kufuta jina la Chadema katika handle zake zote ajiite Mdude Nyagali au mdude Wilbroad Slaa!! Pamoja na kutoshiriki kuhamisha kuchanga movt za kitabu chake.

Balaa lingine kutoka kwa Diaspora wamekata kuchangia mikutano iliyopangwa kuendelea kanda ya Nyasa kamati maalum imeundwa ya kukusanya michango ya ndani kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali wafuasi wa Chadema.

Habari mbaya kwa walioandaa kongamano wajipange watapigwa mawe Mwanza -Bavicha Mbowe wamepewa kazi kuhakikisha kongamano la Sauti ya watanzania halifanyiki lengo kumzuia Dokta Slaa asijibu mapigo ya mkutano wa baraza la Wazee…!!!
View attachment 2771259
Ujinga mtupu.
 
Upinzani Tanzania bado haujawa na nia ya dhati kumkomboa mwananchi. Wengi ni watafuta fursa ndio maana kila wakipiga hatua wanagombana.
 
Uzuri mbowe hahangaiki nao ila wakikamatwa na kuwekwa ndani chadema ndio huwahangaikia mawakili watoke waje watoe dhihaka. Huyo slaa kipindi mbowe yupo ndani aliongea maneno ya hivyo sana
....yeye alipowekwa ndani kwa kesi ya Ugaidi.....sama na mh.Rais SSH leo angekuwa bado ndani........

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom