CCM inao makatibu wa wilaya inaowalipa mshahara kila mwezi, kuna gamba moja nalifahamu Ni katibu wa wilaya kila siku linaenda kuomba mafuta kwa DED. Hao makatibu wasipotimiza wajibu wanafukuzwa hivyo hawawezi kufanya makosa ya kitoto kama kutumia muhuli feki. CHADEMA imeshauriwa mara 300 kuweka structure imara ngazi ya wilaya kwa mtendaji wa mshahara hawakubali
Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu, halafu wanalalamika kuwa wanaibiwa kura.