Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

Ipe nyama basi hii taarifa yako bado ina gap nyingi, hapa hatubishani bali tunataka tujuwe tuanze kuchangia vipi. hebu jazia nyama hii Habari.
watu kama Ritz zomba huwawezi kuwaona kwenye mada hizi, wao ni udini tu ndio uliowaleta hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
yaani tena ukiwaangalia wanavyolumbana kwenye bunge kama watoto wa darasa la saba kwanza walitakiwa wapunguziwe mishahara hao

Wanatia aibu hakuna bunge hopeless kwenye jumuiya ya madola kama hili letu!! muda mrefu muongozo!! utaratibu! wabunge wanachezea kodi yetu kulumbana upumbavu usio na kichwa na miguu watu kama Mwigulu hawatakiwi kupewa nafasi maana wao kazi yao kuanzisha malumbano yasiyo na tija! spika na wenyeviti nao legelege u CCM umewatawala! halafu huu upumbavu wa kupitisha hoja kwa kusema ndiyooo ni ya wapi kwani isipigwe kura tukajua percentage ngapi ndio ngapi hapana??Wabunge acheni kuchezea kodi zetu!! ******!!
 
Hii Thread haina hadhi wala viwango vya JF hata kama Taarifa hizi ni za kweli, huu siyo upashanaji habari, mtu yeyote makini hawezi kukubalina na info za namna hii, huu ni utoto.
 
Kama ni kweli, basi wabunge na hasa wabunge wa CCM watakuwa wanapokea 'blood-money'.
Watakuwa wanapokea hela ili waunge mkono sera/mipango ya kuwaangamiza watanzania! No wonder Stella Manyanya na Mwigulu wanatoka povu!

NB: Ndani ya moyo wangu naomba iwe kweli. Italeta hamasa kubwa.
 
Kweli nchi ya majuha..na kufikia 2015 tutaona mengi. Inauma sana. Siamini kama mbunge ni zaidi ya daktari.
 
jamani wanastahili kabisa, kwanza kazi yenyewe ni hatarishi kweli kweli, angalia mfano kwa mwigulu nchemba, usiulize kafanya nini,
 
Back
Top Bottom