Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

ccm ikiwaita mafisadi wanakataa kujipandishia mishahara kwa kiwango hicho ni dhuluma na usaliti kwa watanzania ambao wengi wao ni masikini wakikosa huduma muhimu za kijamii katika baadhi ya maeneo yao.huu si uungwana hata kidogo.
 
Inashangaza kuwa matumizi ya kawaida yanazidi mapato as such pesa za mikopo zinatumika kulipa nyongeza za mishahara na posho za wakubwa wakiwemo wabunge na mikopo hii italipwa na sisi masikini wakiwemo watoto wetu ambao hawajazaliwa bado. Kwa nini matumizi ya kawaida hayakulenga kwenye makusanyo yatakayopatikana? (Zero budgetting) na si kuongeza pesa za mkopo, huwezi ukawa na pesa kidogo and then utafuta kuishi kama mfalme. Mwaka 2015 kwa kweli kwa jina la YESU nawaombea wananchi pepo la Chama cha Majambazi liwatoke na tufanye mabadiliko.
 
Mshahara wa wabunge umepanda kutoka Tsh 6,000,000/- kwa mwezi mpaka Tsh 10,000,000/- kwa mwezi mbali na marupurupu mengine!..Hii inakuja ikiwa wadaktari tayari wameshatangaza mgogoro na serikali na kuipa wiki 2 kutimiza madai yao la sivyo watatangaza mgomo mkubwa nchi nzima kuanzia 23/6/2012...
Source: Mtanzania ya leo

"Hatuwezi kutatua matatizo kwa akili ile ile ambayo ilisababisha yawepo"..Mch. Peter Msigwa
GOOD Nyie wabunge tukamueni mpaka tuende __ja kubwa ya damu. Sisi ni mazuzu.
Tuliyataka wenyewe it HELL!! wabunge tupeni changamoto ya movement for change.
Dr wa Ukweli aliwahi kuhoji wakamshambulia wote hata wa upinzania. Tuende wapi ee mola!!
 
GOOD Nyie wabunge tukamueni mpaka tuende __ja kubwa ya damu. Sisi ni mazuzu.
Tuliyataka wenyewe it HELL!! wabunge tupeni changamoto ya movement for change.
Dr wa Ukweli aliwahi kuhoji wakamshambulia wote hata wa upinzania. Tuende wapi ee mola!!

Mi sikubali, mpaka kieleweke. kama wabunge wa upinzani watakubali hili basi, Mungu atusaidie, Labda nijiunge na mwamsho wa Zenji.
 
Namlilia Katibu wa chama cha waandamanaji, alitaka kulipwa kama mbunge kwa kutumia pesa za ruzuku, sijui nae ataomba aongezewe?
 
Manina wallahi 10M!!! hiyo ni gross ama net? anyway ni hela ya kawaida sana sema hawastahili hiyo hela kwa madudu wanayofanya hapo kitalani... at least wabunge wa CDM na NCCR tunaona wanafanya kitu fulani
 
Wanastahili, wanafanya kazi kubwa sana hawa wawakilishi wetu.

Bravo serikali kwa hilo. Angalau sasa wanakaribia kufanana wabunge wenzao wa EAC.
 
yaani tena ukiwaangalia wanavyolumbana kwenye bunge kama watoto wa darasa la saba kwanza walitakiwa wapunguziwe mishahara hao
 
nahisi natetemeka kwa hasira..ngoja nikagombanie dala dala kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom