Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

- ha! ha! ha! LE MUTUZ BIG SHOW LE BAHARIA THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA HAKUNAGA U KNOW, CHECK ME OUT AT Blogu ya Wananchi or williammalecela.blogspot.com,

- HAPO MAMEN NI ORIGINAL HAKUNA FAKE WALA MCHINA KUDADEKI, LOVE ME U KNOW CAUSE I AM KOOL AND HAVING big FUN!!

Le Big Shoow!!


[h=3]MBEBS WA UKWHEEEEH!! MY SUPER FRIEND DOLLA SONGAMBELE KAMA VIPI MUJINI MABEBS NI MTINDI KWANZA!! NA ABARI NDIO IYO!![/h]
227752_1027450293723_795421_n.jpg
 
- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Mswaada wa marekebisho ya Katiba Umetinga tena Bungeni.Utajadiliwa upya na walioupitisha kama maroboti(wabunge wa CCM na UDP) na wapinzani walioususia.Kama sijakosea wewe ulikuwa miongoni mwa watu wa Kwanza Kuanzisha uzi humu,mara tuu ya Hotuba ya Mh Raisi kueleza nia yake ya kuurejesha bungeni,ulisema kuwa kama kweli mswaada huu unarejea Huko ulikopitishwa utakuwa wa kwanza kukabidhi kadi ya CCM.Bado umeshikilia Msimama au na wewe unakula Ma-ta-pi-shi yako mwenyewe.
 
mhhhh haya tunalo. ila najiuliza sana kama mbunge anapokea kiasi hicho cha fedha kama mshahara a bado takataka kibao wanazo hili suala lililoibuka siku mbili zilizoisha kuwa wanadai mshahara wao ni mdogo hiki kilio kina maana gani???? koz mshara wa mfanyakazi huku mtaani ni vichekesho. hisia zangu zinanivuta nbele kidogo kuwa hata lile tamko la mh spika kuwa wabunge walienda kumkingia bakuli nahisi au ndivyo kuwa ni ka filamu kametengezwa ili watafutie sababu ya kuanzia kudai mishahara zaidi.mimi sioni sababu wala maana ya kusema mtu akiwa na maisha ya taabu baada ya kustaafu ukaanza sema eti malipo yake yaklikuwa madogo.sawa ikikwa kwa askari,walimu na wengineo ila sio kwa hao wabunge.huu unakuwa ni ujinga kama si upumbavu tena unyama kama sio utu kuwe4ka watetetzi ambao hao haoa wanakuja kuanza kudai mlo zaidi ya sie tuliowapa nyadhifa hizo kwani wanajitumikia au wantutumikia au wana? this is crazy tunaiaibisha nchi
 
Mzee Malecela hana shida hapa, huo ni utaratibu wa Serikali. Na wala Ma-PM wa zamani hawajalalamika ila wabunge wa CDM ndio wanadai hela ya Ubunge ni ndogo.

Hivi nani anajua kazi ya Lema kabla ya kuwa Mbunge?


Unaweza nifundisha kabla ya kuingia kwenye siasa Mzee Malecela alikuwa anafanya kazi gani na wapi?

Kwa nn unazungumzia tu mshahara wa Mbunge lkn unakuwa hauna maelezo ya maana kutuambia kama serikali inapatia kuwapa ma X-PM milion 21 kwa mwezi?
 
- Huu mjadala haumhusu baba yangu kama unataka fungua thread yake, inawahusu Wabunge wa Chadema zaidi ndio maana mnalia liaa sana ngoja wananchi waone unafiki wenu Chadema mnalipwa mahela yote haya eti wakombozi, ha! ha! ha! ha! ha! leo mnalo!!

Le Mutuz

My point is that kama unaionea huruma serikali kwa kuwalipa wabunge Milion 120 kwa mwaka ingekuwa vyema ungeionea huruma zaidi serikali kwa kumlipa BABA yako zaidi ya milion 240 kwa mwaka ikiwa ni mara 2 zaidi ya walipwacho wabunge!

Tusiwe double standard jamani!
 
nani anawalipa ni serikali ya maccm wanachezea kodi zetu na wabunge wa viti maalumu nao wanalipwa?
 
- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

What so funny?!
 
Hao wabunge wa ccm wanaolipwa milion 120 kwa mwaka ni wangapi katika Bunge letu?
Pamoja na wingi wao unaowawezesha kupitisha hata mambo ya kipuuzu mbona hata siku moja hawakuwahi kuongelea suala la mishahara wanayopata.
Zito ni jembe yeye ndiye aliyekuja na hoja ya kuweka hadharani mishahara ya wabunge (yeye akiwa mmoja wa wabunge) na viongozi wengine wa kisiasa pamoja na rais na makamu wake.
Nadhani Zito ni mtu anayestahili pongezi na sio kubezwa, wanaotakiwa kuadhibiwa ni wabunge wengi wa ccm ambao wanatumia wingi wao vibaya huko bungeni kutupitishia mambo ya kipuuzipuuzi huko bungeni.
 
Unacheza na Division 5 wewe? Full kujichanganya mwanzo mwisho.

- HA! HA! hapa leo hamchomoki ha! ha! ha! wewe unaongozwa na form six itakuwa kuja mbio kumjibu division 5 ha1 ha! ha! ujumbe umefika huo kama ulivyotumwa u know!!

Le Mutuz
 
kweli kabisa nchi siyo masikini ila mislocation of resources and fund we have

Unacheza na siasa uchwara za bongo wewe,nchi sio maskini hii,maskini ni wananchi wake.wewe kama kwa mwezi tuna afford kulipa mshara wote huo kwa Bunge,bado hatuja jumlisha ya TRA,BOT,IKULU,Watumishi wa Bunge,BANDARI.Viongozi mabalimbali,bado posho za vikao vyao vingine havina hata kichwa wala miguu vya masaa mawili watu wanavuta per Diem ya wiki... tunajivika vazi la ukombozi kinafiki tuu,ndoma leo ukiangalia wote wanaopiga kelele wanatafuta position za kuiibia nchi hakuna uzalendo hapa,nchi imejaa manyang'au kila kona
 
MBEBS WA UKWHEEEEH!! MY SUPER FRIEND DOLLA SONGAMBELE KAMA VIPI MUJINI MABEBS NI MTINDI KWANZA!! NA ABARI NDIO IYO!!


227752_1027450293723_795421_n.jpg

- That is my baby Dolla Mkareeez wa London/UK the mtindiz ni supa u know majuu wajipange tena, ha! ha! ha! I looove it ipi bora hawa ma-single ladies kwa ma-single man like me, au kujaza mimba wabunge wa viti maaalum huko kwenye lichama la ajabu? ha1 ha! ha1 JAMANI DOLLA BABY MISS U SANA!! NA LOVE U MOREEEE!! PLEASE DONT PAY NO MIND TO THE MBURULAZZZ!!

LE Mutuz
 
- That is my baby Dolla Mkareeez wa London/UK the mtindiz ni supa u know majuu wajipange tena, ha! ha! ha! I looove it ipi bora hawa ma-single ladies kwa ma-single man like me, au kujaza mimba wabunge wa viti maaalum huko kwenye lichama la ajabu? ha1 ha! ha1 JAMANI DOLLA BABY MISS U SANA!! NA LOVE U MOREEEE!! PLEASE DONT PAY NO MIND TO THE MBURULAZZZ!!

LE Mutuz
???? Huyu ndio kiongozi (sijui cheo chake) ndani ya Jumuia ya Wazazi wa CCM. Kweli majanga makubwa ndani ya hiyo Jumuia. No wonder hata mwenyekiti wa hiyo Jumuia Bulembo naye ni kituko.
 
- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Hali hii ya ulipaji mishahara ktk nchi ni mbaya kabisa. Ninachokiona siyo kosa la CHADEMA ni kosa la CCM. Maamuzi ya Bunge yamekuwa yakipitishwa kwa wingi wa CCM.

Kwa upande mwingine hii ndo sifa ya upuuzi walionao wanasiasa wetu. Ni upuuzi uliokubalika na wengi munaotafuta kuungwa ktk siasa, hicho ndo kivutio kikubwa ktk siasa. Hakuna anayeweza kusema anawatafutia maendeleo wananchi wake.

STUPID!

Angalia jinsi bunge lililvyo na pesa za kuchezea. Zitto anaumwa Siku chache zinazifuata, anapelekwa India kwa pesa ya Bunge. Sasa ni katikati ya miaka, Bunge Lina pesa za kutosha bado kupandisha mishahara! Kamishna wa bajeti yuko wapi? Anawapangia pesa nyingi kuliko!
 
Akili zako bwana .Watu walikuwa hawajui mishahara ya akina Pinda na JK .Siku zote hizo imekuwa inakuuma au ndiyo kujipendeza maana hutakiwi .Chadema wanapinga haya kila siku lakini ndiyoooooooooooooooooooooooo wanapitisha unataka waache sasa ? Tumia akili kidogo mkuu I am sure you can do better than this .Haya unayo yasema nani alikuwa hayajui ? Mbon a Zitto alisha sema siku nyingi na akawa anataka zipunguzwe ?
 
- HA! HA! hapa leo hamchomoki ha! ha! ha! wewe unaongozwa na form six itakuwa kuja mbio kumjibu division 5 ha1 ha! ha! ujumbe umefika huo kama ulivyotumwa u know!!

Le Mutuz
Le Mutuz hapo umekwenda nje ya mada. Ni uongozi wa huyohuyo unayemuita form six uliomsukuma Kikwete kuwataka mjiandae kisaikolojia kwa yanayokuja kuwakuta. Was Kikwete wrong?
 
Back
Top Bottom