kiufupi ni kwamba anajaribu kutumia techniques za kutafuta kisingizio! Zitto is an opportunist na as long as ambitions zake zinakwama basi yuko radhi kususa hata maslahi ya nchiKwa hiyo zitto ana taka kutuambia tuhuma zisizo za ukweli ndio zina mfanya afunge mdomo! Umakini wake sihuoni.
Leo ameanza kuogopa!
Imethibitika rasmi kuwa wakati wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakilalamikia maslahi madogo, mbunge mmoja hulipwa mshahara wa Sh. milioni 11 kwa mwezi.
Kiasi hiki hakijumuishi posho ya Sh. 330,000 anayolipwa mbunge kwa kuhudhuria kikao kimoja kwa siku. Posho ni Sh. 80,000 za kujikimu akiwa nje ya jimbo lake, posho ya vikao Sh. 200,000 kwa siku na mafuta ya gari Sh. 50,000, jumla kuwa Sh. 330,000 kwa siku.
Aidha, mbunge mmoja hulipwa ‘gratuity' (kiinua mgongo au bahashishi) ya Sh. milioni 72 baada ya kumaliza kipindi chake cha miaka mitano cha ubunge.
Aidha, wabunge hupewa fedha za Mfuko wa Jimbo Sh. milioni 50 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia shughuli za maendeleo katika majimbo yao.
![]()
- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.
- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!
Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.
Hii thredi ina- input gani ya kuanzishwa tofauti!? kwanini hukuiunganisha kwenye nyingine?
Au iyo picha?
Sawa, ila hesabu zako zinajichanganya, jipange uje upya
Sawa, ila hesabu zako zinajichanganya, jipange uje upya