Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

uzee wako hauendani na ukubwa wa ubongo wako. mwili na umri mkubwa lakini ubongo ni kama ule wa sisimizi. pole john kwa kuzaa mtoto wenye syndrome.
 
mim katika maisha yangu sitomwamini mwanasiasa,njaa ndo inawapeleka kwenye siasa si kukomboa wanyange!

Hasa hawa vijana wa Chadema waogope sana Mkuu. Wengi walikuwa majobless ndio wamefanya ubunge ni ajira.
 
Zitto alipotaja mshahara wa PM pia alitaja mishahara ya wabunge. Usipotoshe umma.
 
kumbe wewe huna akili kama baba yako,chedema wakipewa dola wana uwezo wa kubadili sheria,na kufanya reduction ya mishahara kwa wabunge ili iendane na hali ya maisha.sio kama baba yako aliyekuwa anabali dini na kabila

- Ha! ha! ona sasa huyu naye mburulazzz wewe Chadema watapewa dola na nani? Hivi mwananchi gani atakuwa mjinga kiasi hicho kununua chupa mpya na mvinyo ule ule? Ebo wewe nini tofauti ya Chadema na CCM? Kama ni wabunge mishahara yao ni sawa, kama ni magari ya wabunge wote ni yale yale, tena Chadema inaizidi CCM kwa kusaifiri na helikopta, ila tofauti ni Chadema wanajiunga na chama cha CUF walichosema ni cha mashoga na wanapigana kama wahuni mbele ya viongozi wao wa Taifa,

- Eti unasema kuna mwananchi mjinga wa kuondoa CCM na kuwapa Chadema? please ikitokea mimi nahamia Malawi kuongozwa na mbabes wa ukweli!!, ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Zitto alipotaja mshahara wa PM pia alitaja mishahara ya wabunge. Usipotoshe umma.

- Wewe tuliza boli haijalishi kinajalisha hapa ni kiwango, Shillingi Millioni 120 kwa mwaka wakati wananchi wanapata Shillingi Millioni 2 mwaka ni ukombozi gani huo kama sio wizi wa ajabu kwa lichama la ukombozi? ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
uzee wako hauendani na ukubwa wa ubongo wako. mwili na umri mkubwa lakini ubongo ni kama ule wa sisimizi. pole john kwa kuzaa mtoto wenye syndrome.

- ha! ha! ha! I love it ina maana ujumbe umefika kama ulivyotakiwa!! ha! ha!

Le Mutuz
 
- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Le Mutuz mbona hujagusia mshahara wa Mawaziri Wakuu wastaafu akiwemo BABA yako wanaochotewa 80% ya mshahara wa PM aliyepo madarakani?

PM Pinda analipwa milion 26 kwa mwezi kwa hiyo ina maana BABA yako Mzee Malecela yy anachota Milion zaidi ya 20 kwa mwezi na Milion zaidi ya 240 kwa mwaka!

Why unazishangaa tumilion 120 twa wabunge kwa mwaka wanaofanya kazi tulizowatuma lkn HUMSHANGAI BABA yako anayelipwa mara 2 zaidi ya wabunge kwa mwaka?

Ma-PM wastaafu kwa nn walipwe Milion 240 kwa mwaka?Katiba mpya iondoe u p u u z i huu
 
- ha! ha! ha! ha! mtajibeba kudadeki zenu, kumbe mnalipwa mahela yote halafu eti wakombozi kumbe ndio maana mnakuwa majumba ya kifahari nje, wakombozi! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Mbona BABA yako anachukua Milion 240 kwa mwaka na hujawahi kosoa hapa bana?

Milion 120 ya Mbunge aliye kazini ni nusu tu ya Milion 240 anayolipwa Cigweyemis akiwa katulia tu kwake Mtera ahahahahaha!

Nyani halioni????
 
Le Mutuz! siasa za maji taka chana nazo ww komaa ukakomboe jimbo la baba yake Mtela
 
Kwanini asikatae hayo mabilioni anayoingiza kwa njia nyinginge. Kwanini asikatae posho za PAC? Hizo garama za kuishi ujeruman mara ungereza mara uswis analipa nani?

Mabilion yepi?source please?

hayo ya safari usishangae hayo, ungeenda shule kidogo ungefahamu kuwa kuna mikutano/semina/makongamano/tafiti unazoweza kulipiwa gharama za ushiriki,sio lazima zitoke mifukoni mwako.
 

spika.jpg




- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.

- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!
Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

Hapo kwenye nyekundu, kwani Zitto anaposema posho ya wabunge ni kiasi fulani yeye anakuwa amejivua ubunge?. Tunafahamu hata yeye ni sehemu ya Bunge sasa kulikuwa na aja gani yeye kuelezea mshahara wake kwanza wakati neno mbunge linamaanisha hata yeye pia ni mbunge?
 

spika.jpg




- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.

- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!

Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

Una miaka 50 kijana!
 
............. Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani...........Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

Unataka kuniambia mwizi akimtaja Mwizi mwenzake basi Mwizi wa kwanza anakuwa hana hatia????........Hata hivyo nikushauri kitu hizo swaga penye nyekundu achana nazo waachie watoto wadogo wanaosema XAXA wakimaanisha SASA?
 
- Wewe tuliza boli haijalishi kinajalisha hapa ni kiwango, Shillingi Millioni 120 kwa mwaka wakati wananchi wanapata Shillingi Millioni 2 mwaka ni ukombozi gani huo kama sio wizi wa ajabu kwa lichama la ukombozi? ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Kwani wabunge wa CCM wanalipwa viwango tofauti? Are you saying kwa kuwa wabunge wa CHADEMA wanalipwa SH. 120 million kwa mwaka, basi wakae kimya kuhusu kudai uwazi wa mishahara ya viongozi wa serikali kama wanavyofanya wenzao wa CCM? What are you trying to say Sir? Remember, two wrongs do not make a right. Na sote tunapaswa kudai uwazi katika matumizi ya fedha za walipa kodi, bila kujali itikadi zetu za kisiasa. Kama unalipa kodi utanielewa ninachokisema.
 
Hivi wewe huwa unaweza to read between the lines? or you're a slow leaner?!

Siku Zitto anataja mshahara wa WM pia alitaja mishahara ya wabunge kwamba wanapokea 12M per month. Sasa kwanini unataka kumuwekea maneno Zitto?!

BTW, tunataka Zitto aende mbali zaidi kwa kututajia Viongozi wakuu wastaafu wa kiaiasa wanapokea pesa za kodi yetu kiasi gani. Tunasikia kwamba baba yako Malecela ni mmojawapo wa ma-kupe wanakula kodi zetu hadi Mungu atakapowaondoa hapa duniani.

Malecela anapata 80% ya salary ya sitting PM. Baba yako Malecela anakomba 80% x 26M = Tsh. 20.8M @ month. Kwa mwaka = Tshs 249.6M pesa ya walipa kodi wa Tanzania! Sijui kwa kazi gani?! Pamoja na huo mshahara mnono Malecela analipiwa na kodi zetu kama WM mstaafu, Mlinzi 1, dereva 1, mpishi 1, pango la ofisi, safari nje ya nchi at least mara mbili kwa mwaka, matibabu nje ya nchi.

Baba yako Malecela ni mmojawapo wa kupe wanaoifilisi nchi hii. Nashangaa unapata wapi gut ya kumsema Zitto Kabwe!!??.

Alafu uwaziri mkuu wenyewe kashika mwaka mmojatu!!!!!!!!!
 
Nia yako ni nn?ulitaka iwe siri?kwa manufaa ya nani?
Ww mpaka leo hujajua maudhui ya kutaja mishahara ya vingunge wa nchi hii?
Kisa hoja imetoka kwa ZZK?

Angalia tofauti ya kima cha chini cha mshahara e.g.mwalimu 150,000/=mpaka 11,000,000/=kwa mbunge kwa mwezi.huu ni ubaguzi wa kipato wa wazi.

Angalia pensheni mfanyakazi 5,000,000/=baada ya kufanya kazi kwa miaka 30.
Mbunge miaka mitano anaondoka na milioni 72.

Le mutuz amka,usitete ili mradi umetetea.
 

spika.jpg




- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.

- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!

Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

Hapo kuanzia kwenye neno ikiwa na maana kwamba kwa mwaka wabunge wote wa ccm na chadema wanalipwa shs.120mil.

Hivi ulijaribu kupita shule mkuu? hata ni kindergarten tu.

Mbona ni simple computation tu hapo lakini naona kama kamasi linakutoka vile.

Halafu hilo la posho za wabunge na mishahara yao mbona tangu kitambo linafahamika.
Yaliyokuwa gizani ni ya pm na prezidaa tu.

Hakuna jipya hapo labda hilo la kushindwa ku-compute simple calculation kwa mtu mzima kama wewe.

Kumbe kule mtera sidhani kama wanaweza kukupa hata uenyekiti wa mtaa kwani inaonyesha ni jinsi gani ulivyo pimb* hata hesabu za kupanga na kupangua samaki kutoka bwawa la mtera zinakutoa knockout.

Kweli ninyi ni majanga!!
 
Back
Top Bottom