Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

Le Mutuz mbona hujagusia mshahara wa Mawaziri Wakuu wastaafu akiwemo BABA yako wanaochotewa 80% ya mshahara wa PM aliyepo madarakani?

PM Pinda analipwa milion 26 kwa mwezi kwa hiyo ina maana BABA yako Mzee Malecela yy anachota Milion zaidi ya 20 kwa mwezi na Milion zaidi ya 240 kwa mwaka!

Why unazishangaa tumilion 120 twa wabunge kwa mwaka wanaofanya kazi tulizowatuma lkn HUMSHANGAI BABA yako anayelipwa mara 2 zaidi ya wabunge kwa mwaka?

Ma-PM wastaafu kwa nn walipwe Milion 240 kwa mwaka?Katiba mpya iondoe u p u u z i huu

- Huu mjadala haumhusu baba yangu kama unataka fungua thread yake, inawahusu Wabunge wa Chadema zaidi ndio maana mnalia liaa sana ngoja wananchi waone unafiki wenu Chadema mnalipwa mahela yote haya eti wakombozi, ha! ha! ha! ha! ha! leo mnalo!!

Le Mutuz
 
- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz
Mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari, nilikuwa napokea cash laki 2 na nusu kwa mwezi hiyo ilikuwa mwaka jana, hapo sijakopa bank. Salary slips ninazo kwa ushaidi zaidi
 
Hapo kuanzia kwenye neno ikiwa na maana kwamba kwa mwaka wabunge wote wa ccm na chadema wanalipwa shs.120mil.

Hivi ulijaribu kupita shule mkuu? hata ni kindergarten tu.

Mbona ni simple computation tu hapo lakini naona kama kamasi linakutoka vile.

Halafu hilo la posho za wabunge na mishahara yao mbona tangu kitambo linafahamika.
Yaliyokuwa gizani ni ya pm na prezidaa tu.

Hakuna jipya hapo labda hilo la kushindwa ku-compute simple calculation kwa mtu mzima kama wewe.

Kumbe kule mtera sidhani kama wanaweza kukupa hata uenyekiti wa mtaa kwani inaonyesha ni jinsi gani ulivyo pimb* hata hesabu za kupanga na kupangua samaki kutoka bwawa la mtera zinakutoa knockout.

Kweli ninyi ni majanga!!

- Kumbe unayajua majangaz? ha! ha! ha! CUF ni chama cha mashoga halafu mnajiunga nacho, mnagomea muswaaada halafu mnaenda ikulu kunywa juici na kuukubali, kuwapiga Wenyeviti wa mikoa kwenye mkutano wa Taifa haya ndio majangazzz!!

- Unalipwa mshahara Shillingi Millioni 120 kwa mwaka halafu eti unataka kumkomboa mwananchi mwenye mshahara wa Shillingi Millioni 2? really? ha1 ha! ha! majangazzzzz!!

Le Mutuz
 
Le Mutuz,soma ahadi kumi za ccm na waambie wana jf,kabla ya Kinana kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa ccm akiridhi mikoba ya mzee wa mstachi Mkama alisoma maazimio 10 ya mkutano mkuu wa ccm,yapi mmetekeleza?
 
CCM.jpg big results now.............
 
Le Mutuz, kuna mjinga mmoja wa CDM, Arusha anadai bado hizo ni ndogo!!

Sijui lini wananchi wa Arusha watabadilika.
 
Kweli ndio maana watu wanalogana na kuuana plus majungu na wale wengine wanapeleka dada zao, wake zao na nyumba ndogo zao kwenye zile nafasi za viti maalum! It is really paying being a member of parliament in Tz.
 
Le Mutuz mbona hujagusia mshahara wa Mawaziri Wakuu wastaafu akiwemo BABA yako wanaochotewa 80% ya mshahara wa PM aliyepo madarakani?

PM Pinda analipwa milion 26 kwa mwezi kwa hiyo ina maana BABA yako Mzee Malecela yy anachota Milion zaidi ya 20 kwa mwezi na Milion zaidi ya 240 kwa mwaka!

Why unazishangaa tumilion 120 twa wabunge kwa mwaka wanaofanya kazi tulizowatuma lkn HUMSHANGAI BABA yako anayelipwa mara 2 zaidi ya wabunge kwa mwaka?

Ma-PM wastaafu kwa nn walipwe Milion 240 kwa mwaka?Katiba mpya iondoe u p u u z i huu

Mzee Malecela hana shida hapa, huo ni utaratibu wa Serikali. Na wala Ma-PM wa zamani hawajalalamika ila wabunge wa CDM ndio wanadai hela ya Ubunge ni ndogo.

Hivi nani anajua kazi ya Lema kabla ya kuwa Mbunge?
 
Le Mutuz, kuna mjinga mmoja wa CDM, Arusha anadai bado hizo ni ndogo!!

Sijui lini wananchi wa Arusha watabadilika.

- Mimi ndio maana siwapendi kabisa ndio nalichukia lichama la Chadema, maana limejaaa unafiki na majungu sana lichama linalomiliki kiwanda cha uongo na unafiki, eti wanapigana bungeni kudai haki za wananchi, wananchi gani mnaowapigania na hii mishahara mifukoni mwenu? Wanafiki wakubwa wewe unabebs mihela yote hii halafu eti unawajali wananchi?

- Kazi kumiliki mijumba ya kifahari Dubai, South Africa na USA na kutembelea Helikopta, eti wakombozi! ha! ha1 ha! Wakombozi my left foot!!

Le Mutuz
 
Atajumlisha saa ngapi wakati anawaza kina wema! Babujinga hili

- ha! ha! ha! I know lichama la kujaza mimba wabunge wake wa viti maalum, ha! ha! ha! ha! ipi bora kina Wema Sepetu au kujaza mimba wabunge wa viti maalum? ha! ha! ha1 ha! hapa hmachomoki mnalo haya ihamisheni na hii thread kama kawaida yenu au nifungieni kudadeki,

- Nimesema nitaendelea kuwachapa viboko hapa mpaka mjifunze adabu, muwache unafiki wenu na majungu, chama gani cha wakombozi kazi kupiga wenyeviti wake wa mikoa? ha! ha! chama gani cha wakombozi kazi kupigana bungeni? Chama gani cha wakombozi kazi kuwajaza mimba wabunge wake wa viti maaalum? ha! ha! ha! ha!

- I AM MR. BAD NEWZZZ KUDADEKI ZENU, HAPA NI FIMBO TU HAKUNA PEREMENDE, WACHENI UNAFIKI NA MAJUNGU NA UONGO UONGO BEBENI MSALABA WENU SASA KUWA HAMUFAI NA WALA HAMUWEZI KUWASAIDIA KWA LOLOTE WANANCHI WA TANZANIA NA MKISHIKA DOLA NAHAMIA MALAWI BORA KWENDA KUONGOZWA NA BABES WA UKWELI KULIKO NYIE WANAFIKI WAONGO NA WAPIKA MAJUNGU WAKUBWA!! HA! HA! HA1

LE Mutuz
 
Hujui Zito anajaribu kulinda umaarufu aliokuwa nao sometimes back?sidhani kama amesoma alama za nyakati jinsi anavyoshuka viwango kwa kuruhusu kutumiwa na nyie magamba!

umaarufu wa Zitto siyo wa msimu wala siyo wa kuvizia matukio umaarufu wa zitto uko pale pale hoja nzito za zitto ndo zinamfanya awe maarufu siyo hao wengine wanavizia matukio kutafuta umaarufu
 
Last edited by a moderator:
Mishahara na posho za wabunge tayari zilikua zina julikana. Za raisi na waziri mkuu zilikua hazi julikani kabisa...
 
umejibu kwa staili yako .posho na marupurupu mengine ya wabunge yanafahamika ,zitto kutaja mishahara ile ni kutoa usiri wa jinsi viongozi wengine wanavyolipwa taarifa ambayo watanzania wengi walikuwa hawajui
 
Papa bear and Baby bear...........where is the honey pot?

mzee.jpg

- ha! ha! ha! LE MUTUZ BIG SHOW LE BAHARIA THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA HAKUNAGA U KNOW, CHECK ME OUT AT Blogu ya Wananchi or williammalecela.blogspot.com,

- HAPO MAMEN NI ORIGINAL HAKUNA FAKE WALA MCHINA KUDADEKI, LOVE ME U KNOW CAUSE I AM KOOL AND HAVING big FUN!!

Le Big Shoow!!
 
Back
Top Bottom