Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.
- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!
Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.
Hayo ni malipo ya jumla kwa mbunge kwa mwaka... Ile ya waziri mkuu na Rais ni mishahara tu, haikuhusisha posho na marupurupu mengine!!