Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

Mbowe na Mzee Ndesambulo ni wafanya biashara, naamini wanalipa kodi zote, maana CCM wangewachaaje?....

Ongezea na posho ya kuwa M/kiti wa PAC,naibu katibu CDM then utujuze kodi analipa kiasi gani.
 
Hujui Zito anajaribu kulinda umaarufu aliokuwa nao sometimes back?sidhani kama amesoma alama za nyakati jinsi anavyoshuka viwango kwa kuruhusu kutumiwa na nyie magamba!
 
kwa hiyo maccm yanatafuna 260 plus 120 milioni kwa kwena kusinzia bungeni?
 
wabunge wa chadema wanajipangia mishahara? Posho?magari? Baada ya KUB kulisusa lile gari taarifa za kiitelijensia zilituonyesha kuwa kulikuwa na mpango wa kiongozi mmoja wa serikali kulihonga kwa kimada wake,hivyo tukafikiri na kuona ni bora yeye alichukue likafanye kazi kwa wananchi,ccm ni noma.
 
- Muhimu ni the bottom line, ha! ha! ha1 ha!, yaani Mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa Wabunge Chadema wote hakuna aliyeukataa kwa kuwaonea huruma wananchi, ah! ha! ha!

Le Mutuz

Kwani wanajilipa wenyewe?Na wewe bana!Sasa huko USA ulienda kusoma nini?Na kama Mzee Malecela alikusomesha kwa kodi zetu nitamlaani sana,Ni afadhali ungebakia Tanzania umsaidie baba yako kulima endapo alikuwa na shamba lolote!!!What a moron!!
 
Nafikiri umeshindwa kutuelewesha mosi mshahara wa wabunge unajulikana ndio maana watu hupiga kelele pindi wabunge wanapojiongezea miposho.
Shida ni kuhusu ile mishahara ya wakuu wako wasiotaka ijulikane wala posho zao kumbuka wapo ambao hutunzwa mpaka kufa na mshahara zaidi ya 80% hupata mpaka mauti.
Kuhusu kuwatetea walimu si mpaka labda kupunguza mishahara ya wengine la hasha ukishajua posho na mishahara ya walio juu basi ni kujitahidi kupunguza pengo kwa kuwapandishia mishahara hao walio na midogo.
 
- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Le mutuz,na yule kiongozi wa upinzani bungeni aliyekataa V8 kisha akalichukua kinyemela, anapigwa ngapi kwa mwezi?
 
Kwani CHADEMA TU NDIO WABUNGE,WHAT ABOUT URSTEP MOTHER?ur pathedic kubwa jing*.
 
- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Hapo ndipo mnapokosea, huwa hamjadili jambo kwa maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla bali kwa kushutumiana CHADEMA na CCM. Tuonyeshe kupevuka jamani.
 

spika.jpg




- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.

- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!

Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

Alipotaja mshahara wa Waziri mkuu alitaja kiwango cha mshahara wa Mbunge,labda ulisoma vibbaya tafuta bandiko
 
Hili mbona liko wazi tu kuwa wanajipendelea!!!!!!

Ila bora anayejipendelea na kukuonesha visiki barabarani hata kama kwa kukuonesha yeye anapata sifa lakini vidole vyako si vimesalimika????!!!!!!!

Hiyo unayoanzisha uweke sasa na jumuiya za wazazi mnalipwa ngapi na kwa nini? ????!!!!!!Yaaani kama nyinyi hamatakuwepo nini kitasimama na kushindikana???!!!!
 
Hapo ndipo mnapokosea, huwa hamjadili jambo kwa maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla bali kwa kushutumiana CHADEMA na CCM. Tuonyeshe kupevuka jamani.

Mkuu kama unalo la kuchangia we weka tu wenzio humu ndio tuna survive hivyo maana huku wamejaaa hao wa makundi mawili asubuhi,mchana na usiku!!!!!!

We need to be here though
 
Ni watu wanasahau mapema tu, nakumbuka Mh. Zito alitaja mshahara wa wabunge siku chache kabla ya kutaja mshahara wa waziri mkuu. Usimwonee Zito kwa hilo.

spika.jpg




- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.

- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!

Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.
 
Kwa ufupi tu!zitto hakuwa na haja ya kutangaza mshahara wake ambao kimsingi unafahamika kwamba mbunge yeyote anaweka kibindoni 12m kwa mwezi na hizo allowance/gratuities wanazopata.sikuwahi kufahamu mshahara wa pm na wa president!pole kwa kutoka povu ukidhani wewe na wenzako wa ccm mmeweza kuandika mada yenye mashiko!ila naamini hugangi njaa kwa kusubiria buku 7 pale lumumba!
 

spika.jpg




- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.

- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!

Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

Zitto hajitambui siku zote amekua mropokaji pasipo kujiangalia yeye anapata nini. Posho wanazojipatia kwa siku ni nyingi sana ambapo posho ya siku nisawa na mshahara wa mwalimu.
 
Hivi umesahau kuwa Zitto ni ndio mbunge wa kwanza kujitokeza hadharani kupinga kuongezwa kwa mishahara ya wabunge na suala la kuondoa pisho ya vikao kwa wabunge na watumishi wa umma?? Alipiga kampeni sana ya "scrap seatig allowances" bahati mbaya hakuungwa mkono na wabunge karibu wote wakiwemo wa chama chake, mbaya zaidi Kuna mzee wa chadema ambaye si mbunge ila anakula mshahara sawa na mbunge akiwa huko ufipa kinondoni
 

spika.jpg




- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.

- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!

Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

Wewe kumbe maandazi, wakati Zitto anasema Pinda kama mbunge anakula 12 hukuelewa? Ajabu.
 
Back
Top Bottom