Andrew Kellei
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 348
- 123
Tatizo langu lipo kwenye hizo hesabu.Million 12 kwa mwezi,then kwa mwaka million 120.Mwaka una miezi mingapi?
Mbowe na Mzee Ndesambulo ni wafanya biashara, naamini wanalipa kodi zote, maana CCM wangewachaaje?....
Ni watu wanasahau mapema tu, nakumbuka Mh. Zito alitaja mshahara wa wabunge siku chache kabla ya kutaja mshahara wa waziri mkuu. Usimwonee Zito kwa hilo.
Weka na ya mawaziri wakuu wastaafu na mali walizowarithisha watoto wao
![]()
- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.
- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!
Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.

| [TD="bgcolor: #ffffff"] HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameweka wazi mshahara wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Zitto ameutaja mshahara huo wa Pinda anayejitambulisha kama ‘mtoto wa mkulima' juzi mjini Mpanda na jana wilayani Sikonge wakati akihutubia mikutano ya hadhara katika ziara ya Kanda ya Magharibi kwa ajili ya ujenzi wa chama. Alisema Pinda anapokea jumla ya sh milioni 26, ambazo ni kiasi kikubwa kulinganisha na uchumi wa nchi. Akichanganua alisema Pinda anapokea sh mil. 11.2 kama mbunge , sh mil. 8 kwa nafasi ya waziri na kiasi kinachosalia kufikia sh mil. 26 kwa nafasi yake ya uwaziri mkuu. Alisema sababu hiyo ya mishahara mikubwa isiyokatwa kodi ndiyo huwafanya viongozi wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa wakali pale vyombo vya habari vinapotaka kuwafahamisha wananchi namna watumishi wao wanavyojilipa. "Nimeanza na mshahara wa waziri mkuu pia siku zijazo nitataja na wa rais, kwa kuwa amesaini makubaliano na Serikali ya Marekani kuendesha nchi kwa uwazi, na moja ya uwazi ni kwa muajiri kujua kiasi anachomlipa mwajiriwa wake," alisema Zitto. Hatua ya Zitto imekuja baada ya kuwapo mvutano mkubwa kuhusiana na kile kinachodaiwa ‘usiri' wa mishahara ya watumishi wa umma, wakati ni haki ya walipa kodi kujua kile wanachowalipa walioomba kuwaongoza. http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=54850 |
| Zitto ataja mshahara wa Pinda na Abdallah Khamis, Sikonge |
Zitto hajitambui siku zote amekua mropokaji pasipo kujiangalia yeye anapata nini. Posho wanazojipatia kwa siku ni nyingi sana ambapo posho ya siku nisawa na mshahara wa mwalimu.
Hivi umesahau kuwa Zitto ni ndio mbunge wa kwanza kujitokeza hadharani kupinga kuongezwa kwa mishahara ya wabunge na suala la kuondoa pisho ya vikao kwa wabunge na watumishi wa umma?? Alipiga kampeni sana ya "scrap seatig allowances" bahati mbaya hakuungwa mkono na wabunge karibu wote wakiwemo wa chama chake,i
Kwani wanajilipa wenyewe?Na wewe bana!Sasa huko USA ulienda kusoma nini?Na kama Mzee Malecela alikusomesha kwa kodi zetu nitamlaani sana,Ni afadhali ungebakia Tanzania umsaidie baba yako kulima endapo alikuwa na shamba lolote!!!What a moron!!
Nimekupata vema mkuu kwani information is power. Tutonye basi na mafao ya Waziri Mkuu Mstaafu ni kiasi gani?- ha! ha! ha! ha! kwa sababu inaonyesha Wabunge wa Chadema chama cha ukombozi Wabunge wake wanapokea mshahara wa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka, niambie Mwalimu wanayetaka kumkomboa analipwa ngapi mkuu sana? ha! ha! ha! ha!
Le Mutuz
- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.
Nimekupata vema mkuu kwani information is power. Tutonye basi na mafao ya Waziri Mkuu Mstaafu ni kiasi gani?
Kwanini utaje wabunge wa CDM tu kwanini usingetaja na wa CCM au at least to be rational ungetaja tu Wabunge, but kwa kuwa biased hivyo seems una chuki binafsi na CDM.
Jibu lako hili hapa chini, kwa kuongezea tu, Zitto ni Mbunge pekee wa Chadema aliyegoma kuchukua pesa ya kukalia masabuli bungeni(Sitting Allowance).
![]()
- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.
- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!
Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.
- Ok Mheshimiwa Zitto, with all due respect ya kutaja mishahara ya Viongozi wakuu wa Taifa hakuenda mpaka chini kwenye mshahara wake mwenyewe kwa mwezi ambao ni Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ikiwa na maana kwa Mwaka Wabunge wote wa CCM na Chadema wanalipwa Shillingi Millioni 120.
- I wonder WHY? I mean modern politics demands balance meaning kwamba Zitto kwanza alitakiwa kutaja mshahara wake and then ndio ataje wa wengine ili wananchi waweze kulinganisha na kuamua nani ni nani na nani ni nani!!
Le Mutuz Big Show@ Google-Blogu ya Wananchi.
Utakuwa ulipata Divisheni 5 wewe........12X12 ni 120? Sio 144?
wabunge wa chadema wanajipangia mishahara? Posho?magari? Baada ya KUB kulisusa lile gari taarifa za kiitelijensia zilituonyesha kuwa kulikuwa na mpango wa kiongozi mmoja wa serikali kulihonga kwa kimada wake,hivyo tukafikiri na kuona ni bora yeye alichukue likafanye kazi kwa wananchi,ccm ni noma.