Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
unataka wapige dili?Tumia akili yako vizuri kutengeneza vyanzo mbadala. Acheni kuishi na kuwazia mishahara tu.
unataka wapige dili?Tumia akili yako vizuri kutengeneza vyanzo mbadala. Acheni kuishi na kuwazia mishahara tu.
wewe utakuwa polisi, polisi sio watumishi wa umma wao ni wanajeshiKweli mshahara umetoka jmn wngn hl mbovu
Fafanua statement mkuu,kwamba wana u special ama vipiwewe utakuwa polisi, polisi sio watumishi wa umma wao ni wanajeshi
nimezoea mishahara inaanzaga majeshi, tamisemi, then wengine waliobakiFafanua statement mkuu,kwamba wana u special ama vipi
Alaa ok hata mimi hua najuaga hivo, so yawezekana ya majesh tayari.nimezoea mishahara inaanzaga majeshi, tamisemi, then wengine waliobaki
Na ile 2% ya punguzo la kodi hope inaanza mwezi huu
Oyeeeeeeeeeeeemshahara tayari na ongezeko lipo jamani ccm oyeee
Mm n mtumish wa umma na mwez uliopta mshahara ulitoka trh 23 ck y alhmcwewe utakuwa polisi, polisi sio watumishi wa umma wao ni wanajeshi
tunazungumzia septemba 2016Mm n mtumish wa umma na mwez uliopta mshahara ulitoka trh 23 ck y alhmc
Voda hopeless kabisa. Mi nilipoteza simu, kwenda kuomba line mpya, wananiambia niandike barua na kubandika picha yangu nikieleza kwa nini sijapiga simu kwa siku kadhaa kupitia voda. Nikasepa zangu. Sitaki kabisa ujinga huo.Acha kutumia laini ya Vodacom ndio wanakata pesa.
Wanaamini wewe ni 'Punje ya vumbi ktk mchanga wa bahari'Voda hopeless kabisa. Mi nilipoteza simu, kwenda kuomba line mpya, wananiambia niandike barua na kubandika picha yangu nikieleza kwa nini sijapiga simu kwa siku kadhaa kupitia voda. Nikasepa zangu. Sitaki kabisa ujinga huo.
Watumishi wa Kenya I guessNasikia watumishi wamesema kama hakuna maboresho yanayoeleweka wana jambo la kufanya siku za usoni in a serious way.
Vumbi likipulizwa/kufutwa mahali husika huwa pasafi.Wanaamini wewe ni 'Punje ya vumbi ktk mchanga wa bahari'
Hawa jamaa sina hamu nao kabisa,natafuta upenyo tu
Kitu gan watumishi watafanya?Nasikia watumishi wamesema kama hakuna maboresho yanayoeleweka wana jambo la kufanya siku za usoni in a serious way.
Tatizo ukisema huna, hakuelewi!Dah ila hawa jamaa wanakera sana, utasikia ninashida.... Nisaidie 50000 khaaa
Hadi October 1Umesogezwa Mbele hadi Oktoba