hopaje
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 1,726
- 1,218
hadi jioni mambo yatakuwa tayari wafanyakazi mjiandae kisaikolojia cz mambo yatakuwa mazuri sana
Kanyongeza kapo?
hadi jioni mambo yatakuwa tayari wafanyakazi mjiandae kisaikolojia cz mambo yatakuwa mazuri sana
Kitu gan watumishi watafanya?
Mkuu usipandishe watu presha kila saa wawe wanaangalia saliohadi jioni mambo yatakuwa tayari wafanyakazi mjiandae kisaikolojia cz mambo yatakuwa mazuri sana
Kwaio kuna linyongeza na sio kanyongezahabari ndo hiyo wakuuu
haswaaa we jiandae kisaikolojia tu
serikali tuko bize na kuhamia idodomia hivyo mtuwie radhi, salio halitoshelezi kwa sasaWana jamvi tupeane taarifa ndg zangu
mkuu umenena..kumbe na wenyewe wanalialia kusubiri mshahara wa mwisho wamwezi..kwanini wasiende kujiajiri...Na nyinyi mjiajili msitefemee mshahara wa mwisho wa mwezi kama mnavyotuambia sisi tujiajili ilihali nyinyi wenyewe mmeajiliwa jamani tuwache unafiki
Hawa jamaa wanafiki sana mkuu wanatetea jambo ambalo wao hawalifanyi wanazani wao wameajiliwa ndio wamefika kimaisha hebu waangalie Zimbabwe lidandancy ilivyowakumba watumishi wa umma.mkuu umenena..kumbe na wenyewe wanalialia kusubiri mshahara wa mwisho wamwezi..kwanini wasiende kujiajiri...