Mshahara wa September vipi watumishi?

Mshahara wa September vipi watumishi?

Mama Ndalichako alitoa taarifa kua wamelipa Madeni Takribani bilioni 22 kwa waalimu wote nchini,,Hilo nalo nalisubiri kwa hamu...September hii..isije kua ni siasa tu....!!
 
Wale wa kikosi cha mizinga sijui wanapata wapi taarifa. Ukianza kuona vi message vyao, mara salamu, mara upo? na vitu vya namna hiyo, ujue tayari wahi tu kwenye ATM.
Dah ila hawa jamaa wanakera sana, utasikia ninashida.... Nisaidie 50000 khaaa
 
Nasikia watumishi wamesema kama hakuna maboresho yanayoeleweka wana jambo la kufanya siku za usoni in a serious way.
 
Wamepunguza watu kwenye payroll kwa kigezo cha vyeti feki na hewa lakini bado kuongezea watumishi mshahara wanacheza mieleka.poor mikakati.
 
Haha Mi nakwambia we utaskia matamko yao mwisho wa mwez ukifika..
Serikali haiko serious na WATUMISHI..
kuhusu Increments na madai yatabaki kuwa Kama porojo tuu.

Wenye mamlaka wakiulizwa maswali BUNGENI wanatoa Majib ambayo hayafanan na swali lililoulizwa..

Ila Ngoja tuone mana walisema mwez September ndo utakuwa mwaka wa fedha unaanza Yaan 2016/2017 so Mtumish kuwa na Imani
Kwa payroll ilikuja tyr hakuna mabadiliko, hivyo endeleeni kuvumilia
 
Cheki salio mara nyingi uwezavyo,you have your bank on the palms of your hand nowadays.
 
Back
Top Bottom