Mshahara wa September vipi watumishi?

Mshahara wa September vipi watumishi?

Hiyo haina uhakika maana rais wetu anacheza na maisha ya watumishi wa Umma
Duh kweli namba inasomwa, mbona aliahidi kuwa baada ya miez 2 nyongeza na ajira mpya zitaendelea kama kawaida?
 
Maana yangu ni hii tukitegemea nyongeza ya mshahara hatutafanya kazi maana haipo, saivi wafanyakazi tufikiri namna ya kujiongezea kipato kama unaeneo la kulima lima, kama unaweza kufunga funga,
Kingine usichojua unafahamu waraka mpya wa watumishi wa Umma mda wa kutoka kazini sasa kazi gani umpatie mwingine kama siyo kutia hasara mapema, propose mfano wa plan B nyingine
 
Ambaye hajaandika OPRASS hakuna nyongeza
Oprass ni usanii na kikwazo kitakatifu kinachotumika kama silaha ya maafisa utumishi kuwakomoa wasiowapenda na kuwatunuku wawapenda😵le wa wale tusio na makabila makubwa na kwa vile ukabila ni kigezo muhimu kupanda mshahara
 
Kuhusu Wazee wa pension ya NSSF vipi...watapata keshoooo maana 25th ni sunday
 
Back
Top Bottom