Umesogezwa Mbele hadi OktobaWana jamvi tupeane taarifa ndg zangu
Tayari mzeee Kimbilia NMB ATMWana jamvi tupeane taarifa ndg zangu
Haha Mi nakwambia we utaskia matamko yao mwisho wa mwez ukifika..Wewe ze gunners acha masihara na maisha ya watu
Wewe umeshawahi kuona mshahara tarehe 30Duh ikifika tarehe 22 tu mnaanza kuuliza.
Tarehe imebadilishwa kutoka 22 hadi 30 ya kila mwezi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umesogezwa Mbele hadi Oktoba
Ni tetesi tu mkuu,subiri hadi tarehe 30Wewe umeshawahi kuona mshahara tarehe 30