Mshahara wa September vipi watumishi?

Mshahara wa September vipi watumishi?

Jibu zuri sana hili. Tatizo la waajiriwa wengi bongo huwa hawana Plan B ya maisha. Yeye nikuwazia tu mshahara

Wengine wanashindwa kugawa muda kati ya biashara na kazi...

na wengine wanashindwa kwa sababu hawana mtaji...

na wengine wanashindwa kwa kuwa hawana uzoefu...
 
Maana yangu ni hii tukitegemea nyongeza ya mshahara hatutafanya kazi maana haipo, saivi wafanyakazi tufikiri namna ya kujiongezea kipato kama unaeneo la kulima lima, kama unaweza kufunga funga,
 
Back
Top Bottom