Daah ....bas itakua kazi. Salary ya mwezi wa 9 inavosubiriwa kwa hamu duuuh. Jaman hamna hata wifi ama shemeji wa kairuki humu ndani amuulize basi kwamba namna gan vipiMkuu kuwa mvumilivu yalisikika hayo maneno kuwa sept itakua neema kwenu, we subiri kama kweli bado kama siku chache, niliwahi kumsikia mtumishi mmoja wa uha..... anasema Sept 2016 ataenda ATM na rambo kubwa INAWEZEKANA IKAWA KWELI WE SUBIRI KAKA
nenda upole kabisa mambo yapo tayari mi ndio natokea hapo sasa hivi napata supu ndie nirejee jobWana jamvi tupeane taarifa ndg zangu
That is why we hear so often: "I need a raise." "If only I had a promotion." "I am going to go back to school to get more training so I can get a better job." "I am going to work overtime." "Maybe I can get a second job." "I'm quitting in two weeks. I found a job that pays more."hahahahhaha kama kawaida yetu wazee wa RAT RACE(readers will understand this)
Kwa hyo umetokaHakuna nyongeza, kitu ile ilee.
Hakuna hata nyongeza, hii biashara ni ya january ikikosa ni April km zenji
'kukoma kuringa'
tayari kama saa moja au mawili yaliyo pitaTayar?
Umeshatoka. Anza kumdaiNyie watumishi wa serikalini mshahara ukitoka mtushtue maana kuna mtu namdai ila naona yupo kimya tu.
No nyongezaNo kanyongeza??
jamani nyongeza hakuna.No kanyongeza??
Nyie watumishi wa serikalini mshahara ukitoka mtushtue maana kuna mtu namdai ila naona yupo kimya tu.