Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,078
Bado ni mapema sana.
Mishahara ya watumishi wa Serikali huwa inatoka kati ya tarehe 24-30 ya mwezi husika.
Kwa haraka haraka sana mshahara huenda ukatoka Jumatatu(26/Sep/2016).
Kuhusu nyongeza ya mishahara na malimbikizo ya nyuma hilo suala HALIPO kwa mwezi huu. Tusubiri zaidi na tukiweza kutusahau kabisa. Kwa sababu.
1/Mpaka sasa hakuna Kiongozi yoyote wa serikali aliyejitokeza hadharani kulikumbushia, kulisisitizia, kujitambia au kulifafanua. Kwa kifupi kabisa kila mhusika yupo Kimya.
2/Hakuna mwangi wowote kwenye vyombo vya habari kuelezea hizo tetesi za Nyongeza. Ni matumaini hewa tu baadhi ya watu wanayo.
3/Mpaka sasa "mtukufu" bado hajafunguka kuhusu hilo. Katika mazingira hayo, hakuna "pimbi" yoyote anayeweza kukurupa kuongeza pesa kwa mtu.
4/Kwa sasa Serikali haina Pesa za kutosha, mahitaji ni makubwa sana, mipango ya ghafla ghafla ni mingi mno, hivyo suala la kuongeza mishahara ni zito na tata kwa sasa.
5/Kipaumbele cha Kwanza kwa sasa cha serikali ni kuhamia Dodoma, cha Pili ni kushughulikia Tetemeko la Kagera na cha tatu ni kukusanya kodi zaidi. Hizo blah blah za kuongeza mishahara sio kipaumbele kikuu.
[HASHTAG]#HAPA[/HASHTAG] KAZI TU.