Mwongo hawajaongeza chochote ndugu zangu sijui Huyu magu anatukukuliaje hivi hii nchi anadhania ni ya kwake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wameongeza 20% tu
Bajeti yote imekuwa diverted kuelekea kujenga makao makuu ya nchi.Mbona kuhamia dom haituhusu wengine
Sema haki ya nani?Wameongeza 20% tu
nmeipenda hii....somo litaelewekaKtk kundi ambalo huwa in gumu kuelewa ukwel huwa n watumishi was serikali,lkn kwa style hii mpaka 2020 wataelewa tu
alaaSerkali inahamia Dodoma, hivyo haina pesa za kuwaongezea wafanyakazi mishahara
Mmetapeliwa kama wenzenu kule karibu na ugandaNovember vipi bado
Usifanye kila kitu kwa direct translation mkuu ...watu wazima uongea machache kwa kumaanisha mambo lukukiKwani unamanisha sisi ni wavivu mkuu