Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Si nilisikia kwamba serikalini mshahara unatoka tar 19? JWTZ si wanapata salary mara tatu? "Resheni" tar 7 , Nusu Mshahara tar 15 na Mshahara mwingine Tar 30!!
Usivovijua usiropoke tuache JWTZ nani kakwambia serikali inalipaga mshahara mara 3 hzo zingine ni posho na hazilipwi tarehe hizo

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Mshahara ushatoka kama wako hujauona jua wewe ulienda kutia nia jimboni huko 😄😄😄😂🤣
 
Ile soda uliyoniambia nikanywe kwa mangi vipi?


LOL, nimecheka kwa sauti hapa.

Nilikwambia uende kwa mshahara wako unaosubiria, nilidhani ndiye mtoa mada, kumbe ulikuwa mchangiaji tu mwenye ubishi mwingi, unabishana na walioko jikoni ati.
 
Posho ni malipo anayoyapata mtu zaidi ya malipo yake ya kawaida.

Mshahara ni malipo au stahiki ya mtu anayoipata baada ya kufanya majukum fulani( yn stahiki yake)

Umeelew we ndizi kitimoto tofauti hyo

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
LOL, nimecheka kwa sauti hapa.

Nilikwambia uende kwa mshahara wako unaosubiria, nilidhani ndiye mtoa mada, kumbe ulikuwa mchangiaji tu mwenye ubishi mwingi, unabishana na walioko jikoni ati.
Jikoni si hazina? Sasa huku sisi ndio wasuka mifumo, hao walioko huko ni akina nani...

na sasa tunawasukia MUSE vizuri ili muanze kuitumia huko makazini kwenu 2020/2021 kwenye malipo na namba one akiwa zake IKULU awe anaona moja kwa moja mnachofanya

Achana na hilo, hebu tuongee vizuri kuhusu hii soda
 
Hivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously

sisi bado tumeajiriwa ..kama tusingeajiriwa sijui ungefundishwa kama siyo kuhudumiwa na nani...........

hongera kwa kutokea kwenye ukoo wa lowassa...
 
Back
Top Bottom