Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Ukiona hadi sasa hujaingiziwa salio ujue ulitangaza nia umeondolewa kwenye payrol
 
15:05 bado bila bila mpaka mawazo sijui kuna issue gani inaendelea huko.

Yeah hata mimi bado hawajaingiza, hapa kazini una wengine wawili pia wa NMB Hawajaingiziwa....tuvute subira, itakua kwa Awamu tu.
 
Habari wakurungwa

Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
Serikali ovyo sana hii...

Mtu hapewi mshara wake sababu tu nimwalimu aliyechukua fomu kutia nia kugombea.

Wajinga sana hawa.
 
Yeah hata mimi bado hawajaingiza, hapa kazini una wengine wawili pia wa NMB Hawajaingiziwa....tuvute subira, itakua kwa Awamu tu.
Kama ulichukua form ya Kugombeaa bhasi utakulaa ulikogombeaa
 
Back
Top Bottom