Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

mshahara now unatoka kwa pamoja mkuu hakuna cha serikali kuu, mashirika ,taasisi wala ualimu wala uko benki gani wote mzigo unaingia kwa pamoja
labda izo taasis nyingne, si tumepokea pesa tkka trh 21
 
Huna jipya mzee.
Kama kuna mtu mko nae hapo kazini alaf mko benki tofauti angalia kama mtapata mshahara kwa muda mmoja.

Crdb inaweza kupata asubuh, nmb wakapata mchana au jioni na wakati mwingine usiku, wale wa Nbc ndio kabisaaa hata kesho yake
Kama sisi kwny taasis yetu wanaanza kupata Nmb kwanza, tena kama wakianza kuingiziwa saa 7 mchana ujue mabank mengine ni jioni au kesho kabisa
 
Ushatoka na kuisha,watu washaanza kuzisumbua benk kuomba salary advance.Inaitwa utumwa wa mshahara.
Hii kitu salary advance mabenki wanaingiza mpunga kinoma,mishahara ya watumishi kiduchu mno,wiki tu watu juu ya mawe...
 
Pay as u earn kuna percent ya mshahara inakatwa na serikali depend na unachokipataaa..
Hujanijibu swali nasema kuna ongozekeo la mshahara badaa ya kupunguza kodi, wametumia formula gani I mean rate ya PAYE wameshusha kwa kiasi gani cha asilimia

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hujanijibu swali nasema kuna ongozekeo la mshahara badaa ya kupunguza kodi, wametumia formula gani I mean rate ya PAYE wameshusha kwa kiasi gani cha asilimia

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Me mwenyewe sielewi tu najionea hebu toeni ufafanuzi hapa
IMG-20200724-WA0000.jpg
 
Habari wakurungwa

Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?

Mbona pale mnapokuwa mnawahishiwa Siku zingine au Miezi mingine huwa huji hapa JamiiForums Kuwashukuru hao Mamlaka? Acheni Unafiki!!!
 
Back
Top Bottom