kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
- Thread starter
- #21
Mzee imeisha hiyo tupeane ronja tu vipi mzigo umeingia na nyogezo ayo mengine kausheni.Acha ukilaza endelea kujifunza dogo, ukitukana hovyo unaonekana wewe ndio kilaza. Unafikiri system ya Payroll ina sort out kwenye malipo kwamba hawa wa serikali kuu na walio bank ya CRDB ndio walipwe kwanza?
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
