Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 344
- 725
mzee kitu kimesoma kachukue
mzee kitu kimesoma kachukue
Mkuu ukihama NMB, na siku CRDB ikichukua tender ya kupitishiwa mshahara kwao utaahama tena? hahahaNitahamishia mshahara wangu kuingia nmb naona wanapataga mapema, hivi wana salary advance kama crdb? Crdb wananikosha na salary advance tu, mengine hakuna
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Ngoja ni baki njia kuu tuMkuu ukihama NMB, na siku CRDB ikichukua tender ya kupitishiwa mshahara kwao utaahama tena? hahaha
Dadisi basi crdb kama tayari, nimeshaangalia kwenye simbank mpaka salio likaisha
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Okey duh sisi ni jioni tu hakuna maanaNadhani CRDB bado kidogo, maana NMB wameachia kwenye 1215 hours leo.
Habari wakurungwa
Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
mzee kotekote tayariNadhani CRDB bado kidogo, maana NMB wameachia kwenye 1215 hours leo.
wewe kachukue kitu kishatema
Kwa hiyo kodi imepungua kwa asilimia ngapi?.
Nitakulaumu we jamaa nikienda cheki nikikuita patupu crdbwewe kachukue kitu kishatema
Watumishi watia nia ndio sababu ya kuchelewa mishahara!Habari wakurungwa
Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?