Vijana wamesha upload pamoja na nyongeza ya fedha nyingi, tazama salio bank
Watumishi wa zama hizi mna bahati sana
Watumishi wa zama hizi mna bahati sana
Unataka kuniambia kama nmb wamewekwa leo wengine ni mpaka kesho au keshokutwa? Sijaelewa kwanini itumike nmb as intermediary, kwanini wasi deposit direct mfano crdbYap mzee ndio wana mkataba sasa, lakini haiwezi fika masaa 48 malipo ya mshahara ni tofauti sana yakizidi sana ni masaa 6 utofauti
Unataka kuniambia kama nmb wamewekwa leo wengine ni mpaka kesho au keshokutwa? Sijaelewa kwanini itumike nmb as intermediary, kwanini wasi deposit direct mfano crdb
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Mhhh hakuna aiseeesijasema hujapata elewa point yangu...ukiona umepata wewe jua wote walio kwenye payroll mzigo umeingia.
Kwanini isitumike njia nyingine? hivi treasures hakuna watu nguli na makini wenye kutoa ushauri otherway aroundChuo CRDB ndo walikuwa wanawahi...mshahara ngoma imegeukaaa...!!
Hakuna kitu kama hicho boss.
Ration wanapata mwisho wa mwezi tena baada ya kupata mshahara
Zamani ndo walikuwa wanapata katikati ya mwezi, siku hizi utaratibu umebadilika kwa wao na Police.
Mshahara watu wote nchi nzima wanapata tarehe inayofanana. Ina maana hata wao leo wamepata mshahara
Nitahamishia mshahara wangu kuingia nmb naona wanapataga mapema, hivi wana salary advance kama crdb? Crdb wananikosha na salary advance tu, mengine hakunaNiko NMB, yaani mpaka Muda huu Mambo bado Magumu
Niko NMB, yaani mpaka Muda huu Mambo bado Magumu
Nitahamishia mshahara wangu kuingia nmb naona wanapataga mapema, hivi wana salary advance kama crdb? Crdb wananikosha na salary advance tu, mengine hakuna
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Crdb ama?Kacheki mkuu mzigo umeshaingia muda si mrefu
NMB ndio wana mkataba kwa sasa walioshinda zabuni za huo mpunga kuwa unapitia kwao, zamani ilikuwa CRDB.Unataka kuniambia kama nmb wamewekwa leo wengine ni mpaka kesho au keshokutwa? Sijaelewa kwanini itumike nmb as intermediary, kwanini wasi deposit direct mfano crdb
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app




😀😀Paul Makonda naona umekuja kudai mshahara Jamii Forum tulia Dawa ikuingie si umekuwa jobless wewe
Dadisi basi crdb kama tayari, nimeshaangalia kwenye simbank mpaka salio likaisha