Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Acha upumbavu.

mbona wewe ulienda kuomba kazi za ea hostess ( in JPM voice) pale ATCL, Ulikuwa unataka nini kama sio kuajiriwa?
Achana nae huyo mjinga, kuna nchi gani ambayo watu wote wamejiajiri.
Hata USA kuna waajiriwa
Analeta dharau kisa kwao kazikuta chenji
 
Kuchelewa mshahara siku moja tu ushavurugwa hivyo? ha ha ha ha.....daaaaa....

kwako unafikiri mwanamke kazi yake kumwandalia mwanaume chai tu?

Hivi hujanywa mpaka saa sita kasoro hii? LOL....wenzio tunasubiri tuite cha mchana.
Hebu angalia vizuri comment zangu inawezekana umekosea kumjibu mtu mimi siulizii mishahara

Acha upumbavu ebooo.

haha
 
Hivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously
Hata wewe uliojiajiri si ume ajiri, mambo ni kutegemeana, acha fikra mfu, kuna kale katabia nakuchukia kwa kuona mtu aliyeajiriwa amepotea, sasa mbona kipindi corona imetokea kulikuwa mtafutano biashara zilidoda, ishi karne mpya acha fikra za kizee

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Si nilisikia kwamba serikalini mshahara unatoka tar 19? JWTZ si wanapata salary mara tatu? "Resheni" tar 7 , Nusu Mshahara tar 15 na Mshahara mwingine Tar 30!!
 
Pimbi huyo na walimtosa ATCL liko mbeya, Yuko mbeya huko ni single mother analialia tu hana lolote

Kwanz kwa kauli zake anaonekana ni mwanamke jeuri, kuolewa litakuwa suala gumu sana ataendelea kudanga tu
 
Si nilisikia kwamba serikalini mshahara unatoka tar 19? JWTZ si wanapata salary mara tatu? "Resheni" tar 7 , Nusu Mshahara tar 15 na Mshahara mwingine Tar 30!!
Hakuna kitu kama hicho boss.

Ration wanapata mwisho wa mwezi tena baada ya kupata mshahara
Zamani ndo walikuwa wanapata katikati ya mwezi, siku hizi utaratibu umebadilika kwa wao na Police.

Mshahara watu wote nchi nzima wanapata tarehe inayofanana. Ina maana hata wao leo wamepata mshahara
 
Back
Top Bottom