Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,584
- 53,337
Bado aisehh nakutana na ujumbe huduma nyingine? [emoji12][emoji12]Bado bila bila kiongozi?
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Bado aisehh nakutana na ujumbe huduma nyingine? [emoji12][emoji12]Bado bila bila kiongozi?
Bado etiBoss hujaingiziwa? Dah basi pole sana maana CRDB Asilimia kubwa washapata
Hivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously
Mm natumia NMB bado sijawekewa mpaka muda huu naweza kumconsult nani?
naona Mshahara utakuwa unaingia kwa makundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nadhani CRDB bado kidogo, maana NMB wameachia kwenye 1215 hours leo.
Ngoja tusubiri tuoneMkuu usiwe na Wasiwasi, hata mm ni NMB ila bado sijapata.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Kula neema hizo, acha wengine tusubiri vidole havifananinaona Mshahara utakuwa unaingia kwa makundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mi umeingia mapema sana asubuhi Saa tatu kasoro. NMB.
Umedadavua kwa iq kali sana, waliopata waongoUkiona Uzi Kama huu unatembea kwa kasi jua hamna kitu kilichofanyika ila ukiona Uzi unaenda taratibu yan very slow jua tayari watu wapo folen nmb
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu[emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] Kula neema hizo, acha wengine tusubiri vidole havifanani
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Mpaka ifike nitakua tayari nipo ICU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu[emoji23]
Zamu zamu[emoji23]...Zamu yako itafika.
Hahhaha. Pole Dah!
Hahahahahahhahhahahahahhahaha. Kidumu Chama.km netpay imeongezeka walau hata benki advance zitaongezeka, alamdullah
mbona tarehe bado sana mkuuHabari wakurungwa
Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
Ikifika katikati mwa mwezi, hela imekuka kazi na dawaHahhaha. Pole Dah!
Mi hapa nachekecha akili, kiwanja gani nikajipumzishe mchana huu[emoji23]
Hahhahhaha...Maisha yenyewe ndo haya haya tu mkuu.Ikifika katikati mwa mwezi, hela imekuka kazi na dawa
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Lakini salary advance itaongezeka baada ya miezi tatu mfululizo, ni lazima bank ihakikishe ni mshahara umepanda au ilikua ni bonus au promotionkm netpay imeongezeka walau hata benki advance zitaongezeka, alamdullah
PAYEWameshushakodi hawa mabwege nimekuta kaongezeko ka 70 elfu