Mshahara wa mwezi ujao ni kitendawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa mwezi ujao ni kitendawili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja Mkuu, Jan 17, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Habari nilizozisikia hivi punde kutoka hazina zinasema:-
  mshahara wa mwezi ujao huenda usitoke kabisa kwa kuwa serikali haina hela.
  Hii ni aibu kubwa kabisa kwa mtanashati na handsome boy kama kikwete
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,998
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Siwezi kushangaa ikitokea hivyo yote yanawezekana kabisa. Kwa hali ilivyo! Tutakufa na mtu aisee!
   
 3. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli basi wengi tutakufa aisee, manake uliopita tumeshamaliza na tunadaiwa!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,040
  Trophy Points: 280
  Du.
  Sijui ntatokea mlango gani kiumbe mie.
   
 5. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Tunisia inaweza kuhamia bongo kwa namna mkwere alivyo shindwa kuiongoza nchi
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,992
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tumpe muda amalizie kuchapisha fedha mpya, hadi walau Feb. 15
   
 7. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hivi inflation rate kwa mwezi huu ikoje?
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 145
  sio rahisi!!! tulipe dowans halafu tushidnwe kulipa mishahara? where are our priorities? wananchi au manyang'au?
   
 9. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndio maana napenda kuwa mjasiriamali.
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,998
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Bongo kila kitu kinawezekana mkuu. utasikia tumetumia kuwalipa walimu wapya zaidi ya 9000 na kwamba development partners hawajachangia basket fund. Unafahamu kuna watu wameajiriwa oktoba hawajalipwa mpaka sasa?
   
 11. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Una undugu na serikali ya kikwete?
   
 12. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,753
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hapo atakuwa anacheza na moto.
   
 13. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni ngumu kidogo kuamini.source please.
   
 14. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
 15. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Handsome kwa mkewe siyo kwa watanzania. After all, u-handsome unatusaidia nini katika kuwakomboa wananchi kiuchumi na kisiasa!!?? Mshahara usipotoka ndiyo itakuwa mwisho wa jk.
   
 17. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 11,775
  Likes Received: 3,252
  Trophy Points: 280
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Hilo litakuwa kosa la mwisho kabisa...!
  Kauli ya "SIzitaki kura za wafanyakazi " itakuja na hasira zote, na walimu watammeza!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 145
  sina undugu na serikali ya JK... tena sitaki kabisa undugu nayo, ila ni mdau wa JMT! hivi kweli serikali inaweza kulazimisha kulipa dowans na wakachelewesha mishahara??

  Hii itakua worse than kula nyama ya mtu aisee
   
 20. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,397
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ...pesa ipo acheni uwoga. @treasury
   
Loading...