Mshahara wa mwezi ujao ni kitendawili

To the extent I know JK is simply to print out noti za kutosha kama Idd Amin just to prove this thread wrong!!!
 
Habari nilizozisikia hivi punde kutoka hazina zinasema:-
mshahara wa mwezi ujao huenda usitoke kabisa kwa kuwa serikali haina hela.
Hii ni aibu kubwa kabisa kwa mtanashati na handsome boy kama kikwete
Kwa hiyo Pinda aiwadanganya wahadhiri wa UDOM? UDOMASA. Alisema majina yaende hazina na chap chap yakaguliwe ili hela zao zitoke. Au wa UDOM tu ndio watakaopata?
 
Habari nilizozisikia hivi punde kutoka hazina zinasema:-
mshahara wa mwezi ujao huenda usitoke kabisa kwa kuwa serikali haina hela.
Hii ni aibu kubwa kabisa kwa mtanashati na handsome boy kama kikwete

Mwezi ujao unamaanisha February 2011. Leo ni 17/1/2011 mpaka 28/2/2011 ni siku 41; TRA wako kazini kwa nini mshahara ukosekane? kuna na mabenki haiwezekana mshahara ukosekane labda kuchelewa siku mbili tatu.
 
sio handsome kwanza futa hiyo pesa zote tynataka kulipa dowans tena msipate ili tukiwaeleza mgome mtii sheria na maagizo ndio maelewa mkapa alifanya nini walimu ambao walikuwa kupata mishahara ilikuwa ndoto matatizo yao talitoweka sasa mmelitaka wenyewe solve the problem the sameway you created them
 
...pesa ipo acheni uwoga. @treasury
Iko wapi? Kama wamefikia hatua ya kuomba oc zilizokuwa zimegawiwa mwezi uliopita eti zote zirudishwe hazina kuna dharura!

Hii kali unalipa den la mabil kwa kampuni hewa halafu unashidwa kuwalipa wafanyakazi wako? Tunisia mbona itakuwa cha mtoto!
 
Huo ndio mwisho wa CCM watasema tubinafsishe Shule zote na mahospitali mwaka huu maana ....... Kazi ipo mimi niko pembeni tangu 1995 nilipoanza kuipinga CCM kwa hoja.

Nchi imewashinda huyu mkwere na makamba.
 
Haiwezi tokea,may be uchelewe kutoka na sio kutokuwepo kabisa,tusubiri tuone kwani mda mwingine tetesi nazo huwa na mashaka nazo

mapinduziiii daimaaaaa
 
Naamini huo ni uzushi hela ipo sana mpaka haina kazi kiasi cha kulazimisha nyingine tuwagawie wahuni
 
Ndo maana Mwalimu Nyerere aliwaambia "hatujakuja kuchagua mchumba"! Maana kuna watu walisema ana sura atauzika! Sasa aliyotabiri Mwalimu ndo haya yanatokea tumechagua sura badala ya utendaji!
 
Habari nilizozisikia hivi punde kutoka hazina zinasema:-
mshahara wa mwezi ujao huenda usitoke kabisa kwa kuwa serikali haina hela.
Hii ni aibu kubwa kabisa kwa mtanashati na handsome boy kama kikwete

una undugu na padre mstaafu?maana umerithi tabia ya uzushi kabla hajafa.
 
Back
Top Bottom