Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu.
Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%, hasa kwenye nafasi za uongozi mameneja, ceo, hr, muhasibu mkuu, n.k.
nakumbuka nililipwa mshahara kwa wakati mwezi wa kwanza tu shilingi laki 3, baada ya hapo mshahara ulikuwa unapigwa kalenda badala ya kulipwa mwisho wa mwezi tunalipwa mwezi ujao shilingi laki 2 na nusu katikati, nikaambiwelf 50 watafidia mshahara ujao ujao lakini ilipita miezi miwili hakuna mshahar nikaja kulipwa laki 4, nikaahidiwa watamalizia laki 2 na nusu mshahara ujao,
ilikuwa ni siku yangu ya mwisho kukanyaga, sikurudi tena
kuna watu walikuwa na viporo vya miezi minne bado walikomaa.