Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,379
- 2,855
Hahaha No way.Mkuu,wenda ikawa kweli...si unamjua mzee wetu.anaamua lolote,halaf hapangiw.wenda anataka atujaze mapesa ya kutosha mwez huu
Hahaha No way.Mkuu,wenda ikawa kweli...si unamjua mzee wetu.anaamua lolote,halaf hapangiw.wenda anataka atujaze mapesa ya kutosha mwez huu
Una uhakika?Mshahara tayari wake wenye Ashanti NMb na crdb watembelee.benki zao
Tumia simbankUna uhakika?
Utakufa na pressure best vumilia Friday yes!!!Una uhakika?
Sawa Best.Utakufa na pressure best vumilia Friday yes!!!
una akili ww kwanza mshahara mnatakiwa mpate mwisho wa mwezi ww leo tar 23 mmezoeshwa vibaya sana nyny eti kaa kimya ujui kitu subiri uo mshahara c unaishi kwa nshahara subiri mshahara ww bada uinvest unategemea mshahara tuuu amka mambo yamebadilika ww....afu ww utakuwa afisa ugani wa manispaa ww...Wewe hujui chochote kaa kimya
Wewe hapo una kampuni gani sisi watumishi tunapashana habari unakuwa kutukashifu kwani umeambiwa Hatuna vyanzo vingine usijisikie vibaya kama huna ajira kaka....una akili ww kwanza mshahara mnatakiwa mpate mwisho wa mwezi ww leo tar 23 mmezoeshwa vibaya sana nyny eti kaa kimya ujui kitu subiri uo mshahara c unaishi kwa nshahara subiri mshahara ww bada uinvest unategemea mshahara tuuu amka mambo yamebadilika ww....afu ww utakuwa afisa ugani wa manispaa ww...
mm ni muhuza viatu...Wewe hapo una kampuni gani sisi watumishi tunapashana habari unakuwa kutukashifu kwani umeambiwa Hatuna vyanzo vingine usijisikie vibaya kama huna ajira kaka....
Wewe mkuu si una ofisi yako Internet Café[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli mm nilikuwa hp ATM napiga story na mlinz since morning ht job cjaenda huko nyumbn ni maafa familia inataka kunichinja
maneno matatu tu 'NMB' ......kuna watu vilaza sana nchii hii... baba bashite woye
Sasa hivo viatu unamuuzia nan? Kama sio hao watumish wa umma..ambao mishahara yao haijatoka bado.hiv vitu tunategemeana mkuu,,,mm ni muhuza viatu...
una akili ww kwanza mshahara mnatakiwa mpate mwisho wa mwezi ww leo tar 23 mmezoeshwa vibaya sana nyny eti kaa kimya ujui kitu subiri uo mshahara c unaishi kwa nshahara subiri mshahara ww bada uinvest unategemea mshahara tuuu amka mambo yamebadilika ww....afu ww utakuwa afisa ugani wa manispaa ww...
Habar Leo TBC wanamwandika ndo anaowalipa hao na UHURUmshahara unatoka mpk vyombo vya habar vyote nchini vikianza kutoa matangazo rasmi ya DAB siwez kulipia watu pesa zangu na hawafanyi kazi.!!!