yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 2,004
- 10,398
Hahaha jamani , nicheki wapi!! Ila tu jua bado labda nkukopeshe!!Yoga check utaniambie ki2 na box
Hahaha jamani , nicheki wapi!! Ila tu jua bado labda nkukopeshe!!Yoga check utaniambie ki2 na box
Kwani mwisho wa mwezi unefika mbona mnahaha kwani leo tarehe ngapi. Ikifika tarehe 30 hujapata mshahara hapo waweza uliza but mda huu utakuwa unaiibia serikali tulia acha maneno fanya kazi
Mshahara hutolewa tarehe 22 na 23,Kwahiyo mwisho wa mwezi ulikuwa tarehe 22.Kwani mwisho wa mwezi unefika mbona mnahaha kwani leo tarehe ngapi. Ikifika tarehe 30 hujapata mshahara hapo waweza uliza but mda huu utakuwa unaiibia serikali tulia acha maneno fanya kazi
Una utan wa ngum ee na DABtulia ndio nimetuma cheque na majina (Payroll) yalohakikiwa hakuna jina fake zaid ya DAB
maneno matatu tu 'NMB' ......kuna watu vilaza sana nchii hii... baba bashite woyeNimeangalia muda maandishi matatu mobile ( NMB). Bado pamenuna wakuu.
Private amaHuku wamebandika tangazo kuwa utachelew a mpaka th.27.ila hajahainisha sababu ya kuchelewa.
Wewe mfanyakazi wa nini!?Wafanyakazi wa umma jipangeni .mtaumbuka siku moja.shauri yenu haya maneno mtakuja kuyakumbuka.
Huko wapi?Huku wamebandika tangazo kuwa utachelew a mpaka th.27.ila hajahainisha sababu ya kuchelewa.
Imo nini Askari Muoga?imoooooooooooh
Mmmh noma sanaaaaaaaaaa mkuu hahahahhaaMkuu mimi tarehe hizi zikifika uwa napotea hewani. Sipatikani kokote.