mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
Laki NNE nyingi sana mkuu! Yaani hapo makato ya madeni yote yamekatwa na ulikopa 8m! Kwa hiyo bado hizo 8m zinazunguka kwenye miradi na zinakuingizia faida kila Siku! Mungu akupe nini tena, gunia LA chawa?Inasikitisha then inachekesha...
Maish halisi ya Mtumishi wa Umma.. Anasubiria kwa Shauku mshahara wake Kiduchu wa TGSD/E Wenye makato lukuki.. Take home itabaki laki 4..
Ana familia bado mchepuko unapiga vizinga[emoji23] yaani kila siku maisha yake yataishia kwenye madeni tuu.