Pesa ni pesa haiwezi kua kitu kingine mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli pesa Ni kitu kingine.
Mkuu umenichekesha sana, wale wote wa jana siwaoni leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha raha ya thread hizi za mshahara.ukishatoka tu zinakufa
EtJamani nyie Watumishi wa serikali gani mbona sisi bado hadi sasa?!
Ushatoka bro!Jamani nyie Watumishi wa serikali gani mbona sisi bado hadi sasa?!
Hahaaaa.... Mkuu una uhakika jina lako halikutokea kwenye listi ya wasiokuwa na vyetiJamani nyie Watumishi wa serikali gani mbona sisi bado hadi sasa?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Pesa ni pesa haiwezi kua kitu kingine mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa Serikali ya Magu.Jamani nyie Watumishi wa serikali gani mbona sisi bado hadi sasa?!
Wewe wa serikali ya BashiteJamani nyie Watumishi wa serikali gani mbona sisi bado hadi sasa?!