Nssf mafao yangu ubungo

Nssf mafao yangu ubungo

Blecng

Member
Joined
Aug 12, 2026
Posts
9
Reaction score
15
Jamani nimeweka kidole tarehe 10/8/2026 paka leo tarehe 18 sijafanikiwa kupata hela zangu jamani

Kwani inachukuwa siku ngapi nssf? jamani familia zetu zitakufa njaa mke na mtoto watakula nini Sina kipato naitegemea hiyo ndio ininyanyue tena

Naombeni msaada hela inachukuwa siku ngapi au kuna mtu aliyeweka kidole mwezi huu wa nane na tayari ameshapata mafao yake?
 
Nimechukua mafao nssf 2009, 2012 na 2015....

Miaka yote hiyo sikuwa na mkono wa birika, so chai kwangu ilimiminika vizuri tu...in less than 2 weeks...na nilikuwa mkoani!

Mafao yangu ya mwisho nilichukua within 7 days!...hapo hapo ubungo August 2015
 
Pesa zako unamhonga mtumishi anayelipwa mshahara mara 3+ zaidi ya wa kwako na posho ya kutosha.
Watanzania mmelogwa
 
Nakazia

Sawa utabaki hivyo hivyo
 
Pesa zako unamhonga mtumishi anayelipwa mshahara mara 3+ zaidi ya wa kwako na posho ya kutosha.
Watanzania mmelogwa
Tumia Akili ! Pumbavv zako!.... Nett pay yangu Ya mwisho (Take home) ilikuwa 1,400,000! Kokotoa upate gross pay kenge wewe....

Unafikiri wote wanalipwa laki 5!? Na elimu yangu ni ya hapa na pale Nina Uhakika Unanizidi mbali!...

Google mshahara wa chini wa Driller ni kiasi gani!
 
Lugha chafu ya Nini sasa?
1.4m take home bado ni mshahara mdogo.
 
Back
Top Bottom