Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Kwa style hii waajiriwa tutaburuzwa miaka yote
 
Kwa style hii waajiriwa tutaburuzwa miaka yote
Hivi mna vyama vya wafanyikazi?
Mnakatwa ada ya vyama kwenye mshahara?
Vyama vya wafanyikazi, vina kazi ipi maana naona malalamiko mitandaoni tu
 
Mtaua watu kwa njaa maana siyo wote wanapata posho. Kwa kuwa mwezi uliopita mshahara ulitoka tar 21 mpaka leo ni tar 34. Kuna tetesi kuwa mshahara mpaka tar 40.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hapa Ndio Internet Banking Wanatengeneza Pesa, Wafanyakazi Laki 5, Say Laki 3 Tunatumia Internet Banking, Kuangalia Salio Sh 500, Ukiangalia Mara 2 Kwa Siku Kwa Siku 3
Hesabu Inakuja Hivi
300, 000 X 500 X 2 X Siku 2=600, 000, 000/=

Biashara Gani Unatengeneza 600ml Kwa Siku 2.Tuwe Wapole
 
yani mwezi hata ujaisha ebu acheni izo bhana msipende tegemea mshara sana muwe bac na vibiashara vidogo vidogo...
1.Hivi wote tukiuza sabuni na sukari nani atanunu?
2. Unataka kutuaminisha kuwa wafanya biashara wana hali nzuri na haishiwi hela?\
 
Mtaua watu kwa njaa maana siyo wote wanapata posho. Kwa kuwa mwezi uliopita mshahara ulitoka tar 21 mpaka leo ni tar 34. Kuna tetesi kuwa mshahara mpaka tar 40.
tetete eeeeee, mi mishara hata haikutani
 
Hapa Ndio Internet Banking Wanatengeneza Pesa, Wafanyakazi Laki 5, Say Laki 3 Tunatumia Internet Banking, Kuangalia Salio Sh 500, Ukiangalia Mara 2 Kwa Siku Kwa Siku 3
Hesabu Inakuja Hivi
300, 000 X 500 X 2 X Siku 2=600, 000, 000/=

Biashara Gani Unatengeneza 600ml Kwa Siku 2.Tuwe Wapole

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom