chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
mkuu ujanielewa mm nimesema mbna mapema jamani subilieni afu mm mizigo yangu uwa nauzaga jumla jumla tuu na c rejareja.Sasa hivo viatu unamuuzia nan? Kama sio hao watumish wa umma..ambao mishahara yao haijatoka bado.hiv vitu tunategemeana mkuu,,,