Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Kitu kwa hewaaaaa,piga keleleeeeeeeeeeeeeee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hahahaha utawaua wenzio!!! Bado bwana bilgert!!!! Siovizuri ujue best!!
Hahaa,tunachangamsha tu kidogo ili mada isipoe.ila kiukwel hali ni tete mno mkuu yoga fanya unikopeshe hata ten tu tafadhar
 
Teh,bado chief..yaan mm kila baada ya dkka 5 nachek salio..naambiwq salio halitoshelez
Daah! Mimi wamenila Mia 3 tatu zangu kibao, kuangalia tu Salio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Toka jana.

Nimejua hii Akaunti ya Mshahara nitakuwa natoa hela yote, ili wasionee Senti zangu wakati wa Kuangalia Salio.
 
Hahaa,polee chief.mm huwa sibakiz kitu.ikibak hata buku tano huwa nanulia vocha hukohuko juu kwa juu kupitia ile huduma ya malipo ya kabla
 
We subiria mshahara, wenzio tupo viti virefu kama kawaida. Jumatatu hadi jumatatu. Tarehe moja hadi tarehe 30, ni full kula bata.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Daah! Mimi wamenila Mia 3 tatu zangu kibao, kuangalia tu Salio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Toka jana.

Nimejua hii Akaunti ya Mshahara nitakuwa natoa hela yote, ili wasionee Senti zangu wakati wa Kuangalia Salio.
Tutakukata ukiingia mshahara wako, pole by the way! Ndo ukubwa!!!
 
Hahaa,polee chief.mm huwa sibakiz kitu.ikibak hata buku tano huwa nanulia vocha hukohuko juu kwa juu kupitia ile huduma ya malipo ya kabla
Bora wewe. Safi, Hapa natamani niende nikaitoe ili niweze kuangalia salio kwa Uhuru.

Yaan hapa kila nikangalia 300 inakwenda na Maji.

Assume nimeangalia mara Mia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Ukweli ni kwamba bado mishahara yenu haijatoka, naona watu wamejazana nje kilamtu anauliza kama mshara tayari, poleni wafanyakazi nadhani washaona wahusika mtalipwa tu!!
Great idea mkuu weka link
 
Back
Top Bottom