Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,005
- 134,201
kwanza vipi umeshatoka? 🤣🤣🤣😀😀😀 Hamna mbaya Mtani.
kwanza vipi umeshatoka? 🤣🤣🤣😀😀😀 Hamna mbaya Mtani.
We jamaa umenichekesha sana daah...hatari sana kwa kweli
Hahahaaaa. Utakuwa bado mana mie huwa nacheza karibu na nyuzi kama hizi Mtani kujua kinachoendelea.kwanza vipi umeshatoka? 🤣🤣🤣
tayariHabari waungwana?vipi jamani salary ya august 2021 imetoka??
Wavaa vitenge hao,vipi wavaa kaki almaarufu wazee wa masikitiko hamjapata?
Dada upo sawa lakini wakati huu sio muafaka. Watu tunaulizana kwanza salio, likisomeka ndio ulete maombi yakonaomba kura zenu click link hii Story of Change - Ondoa hofu, anza sasa kuthubutu
Tareh 21 kitambo sana mpunga uliingia, na nilishachomoa laki hapo na kuila kitimoto na biaWakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni


Watu wananjaa wee unaomba kuranaomba kura zenu click link hii Story of Change - Ondoa hofu, anza sasa kuthubutu











Mkuu acha kurusha watu roho, unajua kuna wengi wanapita hapa kimya kimya ila wanasikilizia kilichoandikwa!




























pole jamani nami nina njaa tena sana ndo maana naomba kura mniwezeshe nitoke nipigie mkuu Story of Change - Ondoa hofu, anza sasa kuthubutu





Tunapita kimya kimya au siyo.Mkuu acha kurusha watu roho, unajua kuna wengi wanapita hapa kimya kimya ila wanasikilizia kilichoandikwa!

😀😀😀😂😂 eti wavaa vitenge na kaki teheheh.Wavaa vitenge hao,vipi wavaa kaki almaarufu wazee wa masikitiko hamjapata?
Benki gani Mkuu..Tayari huku 😁😁😁
cc: Shadeeya, BILGERT, Mad Max, Lukataluko, ladyfurahia, kiboboso, NAKWEDE na wote mliogusa uzi huu
🤣🤣🤣 Affwwaaazzzaalliii. 🤣🤣Tayari huku 😁😁😁
cc: Shadeeya, BILGERT, Mad Max, Lukataluko, ladyfurahia, kiboboso, NAKWEDE na wote mliogusa uzi huu
Cheki salio mzee,😀
Ngoja nisubiri ka sms kaingie kwanza