Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Nimefurahi baada ya miaka mitatu ya bila bila, hatimaye nimepata nyongeza ya mwaka pamoja na barua ya kupanda cheo. Lakini mjue Mungu anawaona.
 
Jaman mmeshachukua pesaa au niendelee kusubiri
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Asanteee kwa taarifa ndio napata sasa hivi ngoja nipanguse vumbi ATM yangu
Demiss data
Mshahara tayari, ila naona wanaanza kuwekea watu wa NMB benki zingine muendelee kuwa wavumilivu.
UZI WETU UNAKWENDA KUISHIA KABURINI. RIP HUU UZI. nahisi hii comment yangu itakuwa ni ya mwisho.
 
Back
Top Bottom