Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Mbona mnalia lia wakati mumeajiriwa? Sisi ambao hatuna ajira tumlilie nani sasa?
 
Watumishi wa umma hawana budi kujiongeza kwa kufanya shughuli ndogo ndogo za kilimo, ufugaji, au biashara nje ya muda wa kazi ili kujiongezea kipato au kuanzisha tu utaratibu wa kujiwekea akiba.

Awamu hii imeshajinasibu kuwekeza kwenye miundombinu, na siyo kwenye ustawi wa wananchi wake wakiwemo watumishi wa umma! Hivyo kwa yeyote anayeishi kwa kutegemea mshahara tu, basi ni lazima ataishi maisha ya tabu sana na ya kulialia.
 
Back
Top Bottom