Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Poleni watumishi maslahi yenu mmekandamizwa miaka 4.


CCM ndo chanzo,iondoeni
 
Watu mna moyo. Huu wakati wa kuwa karibu na mwenza kufukuza hii baridi eti bado mnaongelea mshahara.
Wataka wakahonge huko kwa michepuko maana imewakaba hatari, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom